Ohoo! CCM waanza kumkana Samia juu ya ubabe wake kwa Chadema.

Alafu Familia ya watu kama mia tano tu ndo wameteka CCM kwa ajili ya kurinda maslai yao
 
Kiufupi naweza kusema kua mtego wa chuki za kikabila na kidin tumeushinda ila chuki za kisiasa zimetupga hatrik.
Kunauwezekano mkubwa kabsaa engineer anaye/aliyesuka huu mpango wa chuki za kisiasa hapa tz ana itafuna tanzania ili aimeze.

Na iwe kwa wana CCM au wanaCHADEMA wajue tuu kwamba hili game la chuki na mazingira yake ya kiasi cha kuuana kuna wanaotuona kuwa sisi watz hatuna akili maana tumeingia kwenye mtego wao.
 
ROSTAM AZIZI NA UKOO WAKE WOTE.. GSM,ZUNGU,SINGASINGA,BARESA, SAMIA NA UKOO WAKE WOTE . wote ni Raia feki
 
Huwa nawauliza sana lakini wanadai wanaogopa kupoteza ajira zao.
Basi ujue, watu wa aina hiyo, likitokea la kutokea leo hii na CCM kugalagala matopeni, hao ndio watakuwa mstari wa mbele wakishangilia; yaani utashangaa hawa watu miaka yote walikuwa wamejificha wapi!
Huu ndio unafiki mkubwa wa baadhi yetu waTanzania.
 
Naona kama hujui unacho kizungumzia mwenyewe.
Utawarundika vipi CHADEMA katika hayo unayo yaeleza wewe? CHADEMA wameanzisha chuki kwa nani; kwa kudai HAKI? CHADEMA wamemuua nani?
Ni nani anagoma kuachia waTanzania watumie haki yao ya kuwachagua viongozi wao kwa uhuru, bila ya kusumbuliwa

Unalaumu kijumla jumla kuficha unafiki, ambao ndio unaotumika ndani ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…