Okrah Magic you let us down today

Unategemea nini mtoa mada ana diploma kutoka makumira college[emoji23][emoji23] ungeandika tu kiswahili u ngeeleweka ona sasa umeandika broken
 
Baada ya kuandika Kiingereza ambacho haieleweki mleta mada katelekeza uzi. Hawa ndio Rage alikuwa anawasema wamejaa kwenye club.
Ras Simba aje huku kuna mteja wake.
 
Unategemea nini mtoa mada ana diploma kutoka makumira college[emoji23][emoji23] ungeandika tu kiswahili u ngeeleweka ona sasa umeandika broken
Kile chuo kawapa mkatoliki mkapa mmekigeuza kuwa kituo cha unajimu na mafunzo ya kuwasiliana na majini. Hopeless idiots.
 
Mnapenda sana kulalamikia wachezaji! Ungecheza wewe ungefunga?

Kwa hiyo na Yanga nao wawalaumu wachezaji wao kwa kupoteza nafasi walizopata!
 
Mzungu alikuwa sahihi kugombana naye pia mgunda ametuangusha kumweka kanoute nje
Kanuti ni mgonjwa nimemsikia mgunda akitolea ufafanuzi swala hilo baada ya mechi

Lakini pengine angeweza kutu cost kwenye mechi ya leo kwa kupewa kadi nyekundu kutokana na mfululizo wa kupewa kadi karibia kila mechi ambazo sometimes zingine huwa ni mechi za kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…