ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Umesimuliwa au umeona mwenyewe? shots on target 6 kwa 2 unasema ulitakiwa kushindaUkweli ni kwamba hii mechi ilikua ya simba ni vile tuu sijui nini kimetokea..moyo unaumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesimuliwa au umeona mwenyewe? shots on target 6 kwa 2 unasema ulitakiwa kushindaUkweli ni kwamba hii mechi ilikua ya simba ni vile tuu sijui nini kimetokea..moyo unaumaa
Akiandika nitag 😂😆😂Iandike kwa kizungu kama una ubavu
Wewe kubali tu hicho Kiingereza ni cha kwenye ugoko, hatuchekani ila tukikosea tukubali siyo kujifanya wajuaji.Uto wanakomaa na vitu vidogo
Nimeona kwani shot on taget ndo nini mkuu unaweza ukawa unapiga shot on target dhaifu tuu.Umesimuliwa au umeona mwenyewe? shots on target 6 kwa 2 unasema ulitakiwa kushinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Hivi vigezo vyakuwa PLATINUM member ni zipi??.
Hebu kashangilie lede huko, kama hujui hata maana Jambo dogo km hili unatafuta nini kwenye mpira wa 🦵?Nimeona kwani shot on taget ndo nini mkuu unaweza ukawa unapiga shot on target dhaifu tuu.
Changia hela jf utapewa. Hawaangalii lugha kule.😅😅
Hivi vigezo vyakuwa PLATINUM member ni zipi??.
Hiyo beji ya Platinum ulitolea kitobo nini?, Maana sio kwa uchafu huu😅Uto wanakomaa na vitu vidogo
Kumbe!! Ndio maana mbugila hii ina beji,nikajua sababu ni kupandisha nyuzi zenye uzito!!.Changia hela jf utapewa. Hawaangalii lugha kule.
Kile chuo kawapa mkatoliki mkapa mmekigeuza kuwa kituo cha unajimu na mafunzo ya kuwasiliana na majini. Hopeless idiots.Unategemea nini mtoa mada ana diploma kutoka makumira college[emoji23][emoji23] ungeandika tu kiswahili u ngeeleweka ona sasa umeandika broken
Mnapenda sana kulalamikia wachezaji! Ungecheza wewe ungefunga?This was our game, we supposed to win.
We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I can firmly say so.
You played a stunning game and you deserved to be a man of the match. However, you could do better than that.
There's many, many times where you could pick out a good pass, deliver a good cross, and you went for a shot yourself. That's the one area I would say you let Simba down, you were a bit too selfish and other players might looking for you too eagerly.
I recommend to you and the technical team, you are required to stop selfishness.
Mlete mama yako atakupa feedbackHiyo beji ya Platinum ulitolea kitobo nini?, Maana sio kwa uchafu huu😅
Kwani mkuu maoni yamekatazwa. Mimi mambo ya Yanga kuwaona wachezaji kama miungu watu hainihusu. Naongea na mtu ninayemlipa mshaharaMnapenda sana kulalamikia wachezaji! Ungecheza wewe ungefunga?
Kwa hiyo na Yanga nao wawalaumu wachezaji wao kwa kupoteza nafasi walizopata!
Kwa hiyo angekuwepo huyo Kanoute, mngeshinda!Mzungu alikuwa sahihi kugombana naye pia mgunda ametuangusha kumweka kanoute nje
Kanuti ni mgonjwa nimemsikia mgunda akitolea ufafanuzi swala hilo baada ya mechiMzungu alikuwa sahihi kugombana naye pia mgunda ametuangusha kumweka kanoute nje
kaazi kweli kweli.Job true true!
Umeandika nini hapa sasa!Mlete mama yako atakuoa feedback
Acha kupanic ww,huu mpra burudan unaleta had mambo ya mama,unazngua.Mlete mama yako atakuoa feedback