Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

Naunga mkono hoja ya mtoa mada. Swali ni kwamba utatufanyia nini, kwa riziki zilizopo nchini, ambacho ni bora kuliko ilivyofanya Serikali ya sasa? Nilisikia Chadema (hususan Lissu) wakisema wanahitaji mdahalo kati ya wagombea urais wa vyama vyote ambao utaonyeshwa mbashara. Watanzania tusidanganywe na hoja za namna hii. Tunachohitaji ni mtenda kazi. Siyo mzungumzaji mzuri. Kwa watu wa makamo, watakumbuka utendaji wa Waziri Mkuu Sokoine. Hakuwa mzungumzaji sana lakini kazi likuwa ikifanyika. Ikafikia wakati wa uhujumu wa uchumi matapeli wakawa wanatupa barabarani mali zao ambazo hawakuzipata kihalali ili tu zisikutwe nyumbani kwao. Haya ni mambo ya kweli. Vijana wanaweza kuwauliza wazee wao. Hata kama Magufuli hawezi kujieleza kwa ufasaha kama wagombea wengine kama Lissu, tayari ameonyesha nini anaweza kuifanyia nchi hii. Siyo porojo za kwamba nitafanya kadha wa kadha na ukiisha kuchaguliwa unashindwa kutimiza uliyoahidi.
 
Unamuandama Paskali kwamba yeye siye mtu huru wa kufanya uchambuzi na kwa hiyo unazipuuza hoja zake. Kwa nini unadhania wewe tu ndiyo una uhuru wa kutoa mawazo na wenzako hawana? Paskali ni raia kama wewe na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.

Bandiko Na.8 anasema amesoma kichwa cha habari tu na hakutaka kusoma 'upuuzi' wa mada yenyewe. Hii inadhihirisha uduni wa fikra za wengine. Soma mada iliyotolewa na baadaye uikosoe kwa kufuatisha hoja baada ya hoja. Kwa nini tukuamini wewe unapotuambia alichoandika Paskali ni upuuzi? Labda mada yako ndiyo ya upuuzi kwa kuwa umeshindwa kukosoa hoja alizotoa mtoa mada.

Kuna wengine, kama Bandiko Na.9, wanasema Paskali hana hadhi ya kuwa mwanahabari kwa kuwa ni kada. Kwani kazi ya mwanahabari ni kusema tu Mwinyi jana amefumaniwa Buguruni kwa Malapa? Mwanahabari halisi anachambua habari zilizopo na kutoa maoni yake kuhusu suala husika. Hivyo ndivyo anavyofanya Paskali, hata kama hukubaliani na mawazo yake. Hivyo ndivyo wanavyokuwa waandishi wa vyombo vikubwa vya habari kama BBC, Al Jazerra, Sky News, n.k.
 
Yaani badala ya kususia uchaguzi na kusisitiza Tume Huru mnakuja kujificha huku na haya matumaini hewa!!??
 
Hebu prove hapo kwenye uislam...umekua msemaji wa waislam? Mna uhakika wa kushinda why do you bother about chadema? Subirini kuapishwa tu mengine ni roho mbaya yenu tu
 
The difference is no more clearer: Endelea kubana wezi na kujenga miundo mbinu au acha watu wajilie kuku na bomoa au sahau mambo ya miundo mbinu. Ni karibu sawa na USA walivyofanya mwaka 2016!
 
Sikuweza hata kusoma baada ya kujua kilichomo bila kusoma. Ukweli ni kwamba wamefika bei yako na sasa wewe ni mali yao. Njaa kitu kibaya sana
 
Unaboa tu
 
Hebu prove hapo kwenye uislam...umekua msemaji wa waislam? Mna uhakika wa kushinda why do you bother about chadema? Subirini kuapishwa tu mengine ni roho mbaya yenu tu


Kwani chadema ni mali ya ukoo wako hadi tusiongelee? wewe ni nani hata ukataze watu wasiongelee chadema?
 
Yamekuathiri vipi hayo katika Maisha yakoe
 
Paskali umechelewa mapambio yako ,hii miezi miwili hauwezi kuteuliwa,ningekupa moyo kwamba uendelee lakini ITOSHE KUSEMA KWAMBA CCM INAPUMZISHWA KUONGOZA 28 Oct 2020 kwahiyo Uteuzi utaukosa.
 
Tutajie mambo matano tu mazuri yaliyofanywa awamu hii na matano mabaya yaliyofanywa tujue na we ni huru katika chambuzi zako
 

Mkuu hizo barabara katoa pesa zake mfukoni au ya walipa kodi?
 
Mbona povu Mkuu, yeye ametoa maoni au anavyoona.
 
Yamekuathiri vipi hayo katika Maisha yakoe

Naishi kwa hofu kwasababu sijui kama kesho na mimi nitapotea au kupigwa risasi kama Lissu au kuwekwa ndani na DC kwa masaa 48 bila kosa. Mara kumi nife na ulofa wangu lakini niwe huru kuliko kuishi kwa hofu na manyanyaso.
 
Utakufa na njaa yako pamoja na uwandishi wako uchwara nasikia na wewe ni msukuma mwenzangu hebu nikuulize huyo unayemshabikia kawasaidia nini wasukuma je unajua saiv wakulima wa pamba wanamateso kupitia mradi ulioanzishwa na serikali wa AMUCOS had I sasa baadhi ya wakulima hawajalipwa pamba ya mwaka jana, so wewe kama in msukuma labda msukuma mlowez was daresalaam sio wa kanda ya ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…