Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert
 
sisi tunaenda na tangible mkuu.yaaan hewa kwanza haishikiki unahisi tu.
no big NO.
wanasingida mwaka huu hatumtaki huyu msaliti
 
Mil 50 kila kijiji,laptop kwa kila mwalimu nk,kuhakikisha uhuru wa habari kwa wana habari,masilahi wa watumishi wa umma,hizi hazikua hewa.

Mleta mada si ndio wewe uliahidi mil 10 kwa kila kata?au ilikua kiasi gani(tukumbushe ahadi ulizotoa wakati unajinadi kwa wajumbe)
 
Kwanza naomba niambie nani kati ya pombe na lisu aliyetoa ahadi hewa.
Tuanzie hapo kwanza
 

Ha ha ha ha , kwani amekuwa sio Pascal?
 
Punguani mkubwa wewe ZWAZWA.

Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!
 
Mkubwa umenikimbusha critical analysis ya General Ulimwengu dhidi ya utumishi wa Hayati Mzee mkapa katika tasnia ya habari nanukuu " alikwenda kukandamiza zaidi ustawi wa sekta ya habari ikiwemo wanahabari na alikwenda kutimiza yale utawala ukiyataka ndani ya chombo cha habari"

Msinihukumu ni maneno ya General dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…