Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?


kweni tokea lini Tz kukawa na uchaguzi ?? Huu si uchaguzi ni uchafuzi . Waislamu katu hawawezi kuwa upande wa Magu fool kwani ndiye kiongozi anayewatesa waislamu magerezani na kuwapachika kesi za ugaidi,
 

Mkuu ni reality zipi unazoongelea? Je unafahamu huku pia ni Tanzania?

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

Kuwa mgombea anayehitajika ni huyu?



Au kwako wewe reality hizi ni sawa:



Pamoja na teuzi zijazo uhalisia na busara kidogo pia jombi au vipi mkuu?
 
Mwanahabari kanjanja na kasuku,unachosahau ni kuwa hata kipindi magufuli anagombea 2015 alikuwa na empty promises kama wenzake ila sera na hizo empty promises ndo "zilimuwezesha kufika hapo alipo".

Kuwahukumu wapinzani kuwa hawana tangible deliverables ni utapiamlo mkubwa saana wa akili,ulitegemea au unategemea wawe na nini cha kudeliver ili wapigiwe kura???
Kwa mawazo yako unamaanisha wapinzani duniani kote hawana haki ya kuchaguliwa kwa kuwa hawajafanya lolote,sio?Maana anaefanya vitu ni yule anayeongoza.

Kwa akili finyu namna hii ni sawa na kusema serikali zote duniani ziwe za mpito ( total collaboration kati ya wapinzani na chama tawala) ili ikifika kipindi cha kampeni kila mmoja ajinadi kwa aliyoyafanya na apate kuchaguliwa kwa hayo maana kila kinachofanyika wanakuwa wamekifanya pamoja.
 
Kinachoniudhi sisi Chadema na wabunge wetu utawala uliomaliza muda wake mpaka 2015 tuliwaona hakuna wanachokifanya tukabeza na sasa naona unapendekeza turudi hukohuko why?
 
Kule Kawe ulikoenda kugombea ulikuwa na deliverable tangibles zipi za kuwaambia wanakawe.bandiko la kitapeli.siasa umevamia wewe baki nyuma ya keyboard.
 
Rubbish.. Nani kakudanganya kuwa ccm inakubalika huku kanda ya ziwa? Huku bila wizi hata ubunge ccm hawapati


Labda kanda ya Ziwa Eyasi ndiyo chadema itashinda lkn siyo Mwanza, Shy, Simiyu, TB, KGR, huko ni CCM Damu na JPM ni mtoto wao!
 
Mkuu hauko sahihi? Nadhani tunatakiwa kuipima ilani inayoishia 2015- 2020 imetekelezwa kwa kiwango gani? Ikiwa chini ya 100% Ni failure

Pia nikukosoe hizo deliverables, tangible zako zilikuwa za 2015-2020,

2020- 2025 we start afresh, kwa hiyo wagombea wote lazima wajiuze kwa empty promises mpya

Mkuu pamoja na porojo zako dhamiri inakusuta hauko huru
 
Kwa hayo yaliyofanyika uliyoyataja ulitaka afanye nani Kama sio serikali iliyo madarakani???


Pili je wamefanya yanayostahili katika mazingira gani??

Tulipo na tulipotoka kuna tofauti gani kati ya awamu iliyotoka na iliyopo

Mwisho wewe Kama mwanahabari unaejinasibu mkongwe je sekta ya habari ipo huru??? Na kwann haipo huru ?? Nini kifanyike??

Solution Ni katiba ya wananchi haya ni maoni yangu otherwise tutabaki kukimbiza upepo mpka atakaporudi masiah
 
Watanzania wengi walijiandikisha sana 2015 sababu ya vitambulisho vya kusajilia laini so inawezekana
 
Pascal, even the visible and tangible deliverable s you are talking about started with what you call empty promises. Oxford English dictionary defines empty promises as unfulfilled promises; contrary to what you want your readers to believe. A promise remains a promise, and becomes an empty promise (like the 50m to every village) when unfulfilled. So I will vote for the candidate who promises me my daily bread and my freedom. I go for my prayers and give "sadaka" in the church every Sunday because the priests promise me heaven. I emphasize Pascal that my daily bread and freedom is my earthly heaven.
 
Thread closed! Tukutane October 28 kumwaga pombe chini
 
Which comes first a chicken or an egg?
 
Pascal nimejitahidi kulisoma bandiko kama mtu niliye huru aaa wapi nakuona kabisa umeegemea upande.

Nilitarajia uhimize uhuru ktk uchaguzi maana ccm wanamtaji wa kuonyesha walichofanya, hivyo wawaache wananchi waamue katika hivyo vinavyoonekana dhidi ya ahadi za visivyoonekana.

Hili likifanyika nadhani ccm itakuwa imepata picha pana ya kukubalika kwake. Lakini kukiwa na figisu maana yake maendeleo ya mavitu wananchi hawajayabariki.

Hata wewe najua ni mmoja wa waliopinga juu ya maendeleo ya mavitu..dhidi ya watu.

Kwa kumalizia hapo kawe,naona umemnanga msukuma mwenzako. Haiwezekani umuite shoga,nasubiria atakavyokushukia. Tutajua yaliyofichika juu yako. Na hivi ni mwanachama wa joni mtembezi,huwezi kuwa salama.
 
Watanzania wengi walijiandikisha sana 2015 sababu ya vitambulisho vya kusajilia laini so inawezekana

Inawezekana ila sio 29m+. Hakuna uwezekano wa nusu ya watanzania wote kuwa wamejiandikisha. 29m+ maana yake ni kuwa nusu ya watanzania wote ni watu wazima, hilo haliwezekani hata kwa akili ya kawaida kabisa. Kama idadi ya wapiga kura ni ya kupika, hata matokeo yatakuwa ni ya kupika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…