Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

Pasco; maendeleo tangible tunayo yaona ambayo yamefanywa, yamefanyika kwa ruzuku ya ccm? Au kuna ng’ombe mmeuza kule nyumbani, mkatuletea maendeleo?! Mmetufanyia hisani kwa hiyo tuwalipe kwa kura?!
 
Lazima ukumbukwe kwenye teuzi, ila cha muhimu kwa sasa ongeza kasi ya propaganda na kampeni.
 
Ukiwa MUONGO uwe na KUMBUKUMBU MNAFIKI MKUBWA


 
mtu hataishi kwa mkate tu, ushamba na ulimbukeni kwenye kabila lenu ndio unawatesa wakudata nyie, mkoloni alifanya mazuri ila tulimwambia arudi kwao, kumbuka magufuli hatoi hela yake mfukoni, kodi bambikizi na mikopo mikubwa na dhuruma kwa wenye bureau, wafanyabiashara, madeni ya wazabuni waliosupply during Jakaya era, kutolipa VAT refunds, kuchota mipesa kwenye pensheni schemes etc etc,
in short otighe kwibhensibhensi iye tele mghaikoro, rimura righima uliikala ulani obhukangikangi.
 
Wewe MNAFIKI uliyekubuhu mchumia tumbo na msaka TEUZI ukiwa MUONGO basi uwe na KUMBUKUMBU.

Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!


 
Mkuu, siyo kujenga kwa pesa zake, insu ni kwamba hizo kodi unazozikusanya, unazisimamia ipasavyo? I think hiyo ndiyo big deal.
 
Hivi kuna tofauti yoyote kwa sasa kati ya Le Mutuz na Pasco?
 
Kwanza chadema nzima inawatukana wasukuma kwamba ni washamba,
Juzi Lisu kasema ule uwanja wa chato Magufuli kajenga kwa ajili yake na mamaake!
.
Watu wa kanda ya ziwa wanawachora tu, wamejikalia kimya majibu yao watayatoa oktoba.
Msukuma gani chato anapanda ndege kwenye ule uwanja kama wapo hata 50 kutokea pale chato najiunga CCM


Halafu Nani kakwambia chato Ni kwa wasukuma?
 
Asante sana mkuu ,hapa ni mwisho siendelei tena
 
Safi, naona umejibu vizuri sana kwamba serikali inayoongozwa na JPM imejenga barabara, kwa hiyo JPM akiwa Kama dereva ameongoza vizuri serikali hadi barabara zikajengwa, kwa hiyo JPM hastahili pongezi kwa hilo?
Ni sawa. Hata hivyo hatuna sababu ya kumsemea mgombea. Tuwaache waseme, yawezekana akaja mpya akanunua ndege 20 au zaidi.
 
Kwanza nikupe hongera kwa kuwa mkweli katika ku"declare" interests zako kwani wakati wote umekuwa ukieleza vinginevyo. Pili kwa jinsi unavyojieleza sasa napata wasiwasi kama kweli ni wewe, Paskali, uliyeandika haya uliyoandika. Vinginevyo niseme tu Paskali ukuje hapa kuna mtu ame"hack" jina na akaunti yako ya JF - where we dare to call a spade a spade NOT a big spoon.
 
Mimi nikipewa tshirt na kofia inatosha hayo madaraja, sijui flyover sina mpango wa kupita huko, au naweza kubadiri mawazo na kura yangu kuitupa kwa mwenye kuvutia katika picha.Nawakilisha mamilioni ya wa tz
 
ELIMU bure ? Wakati huku kwetu kila siku michango kama kawaida mara michango ya kulipa walimu wa temporary teaching kisa mmeshindwa kuajiri CCM imewadanganya wazazi kwa kutoa ada ya 20000 huku hiyo hela mtaitumia tu kuajiri walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…