Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

Kwanza notion ya kuwa kuna Deliverable tangible na empty promises nin wrong kwa kua wanao ahidi wote watategemea kodi zetu kutekeleza ahadi kinachotofautisha ni namna ya utekelezaji,sitegemei kuwepo na ahadi za mambo ya mbinguni.Wote wataahidi ujenzi wa miundo mbinu lakini tofauti itakua ni wapi unaanzia na wapi utamalizia,je utajenga miundo mbiunu ipi.

Mfano mzuri unaweza kujenga barabara lakini ukawa hujatazama economic viablity yake.Hoja ya kua kuna kitu kimefanyika ni mfu kwa sababu hatukuchagua kitu kisifanyike kwa kua fedha zetu zipo hivyo kwa vyovyote kingefanyika kitu kamaa ambavyo vimefanyika toka miaka ya 1960 ya uhuru hoja ni kipi kimefanyika?kwa utaratibu upi na kwa masalahi yepi?.

Hivyo bila shaka ahadi zitakua na ukosoaji wa utekelezaji wa miaka mitano iliyopita.Mfano kwa mimi ningekua mgombea ningepambana sana na kitu kinaitwa TARURA kwa kua chombo hiki kimeanzishwa kinadharia tu lakini hakina msaada kwenye kuukimbiza uchumi kwenye maeneo ya pembezoni na vijijini huko maana muda wote wao hawana fedha.

Zamani tulikua na wakuwanyoshea kidole lakini leo TARURA ni the hidden enemy.Hivyo hoja siyo kua tuimeona kafanya ni lazima tushawishiwe kua kuna vitu vitaenda kufanywa tofauti ili tuamue kuendelea na aliyekuwepo au tumtafute mtu mwingine aje afanye tofauti.
 
Umeukana uandishi wa habari na teuzi ya ubunge umekosa pole
Hivi kweli Paskali anaweza kutoa kongole kwa ujumbe huo hapo juu? Narudia tena kumtaka akuje kipande hii kujihakikishia pasipo tone la shaka kama kweli aliyeandika hayo ni yeye.
 
Unapenda sana kuutukuza ukabila na ukanda !!. Hizi hua ni dalili ya mtu mfilis kichwani .
 
yaani bora ungesoma tu uzi ulioletwa kuliko huu upuuzi wako uliouweka. yaani kichwa chako ni cheupe kabisa
 
Wapigania uhuru wao waliwapinga wazungu hadharani hata kuchinjwa vichwa.Mwenzetu anasema eti tusiwaseme vinabaya maana wanatulisha.Anasahau kuwa hata kama wangekuwa wanatulisha ,malisho hayo ni Matokeo ya uporaji waliyoufanya kwa Africa na Tanzania ikiwemo.
 
Polepole amesema Ninyi ambao hamkupenya kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi lazima mpige kampeni ili walioteuliwa washinde,na baada ya hapo Mtateuliwa,na kwamba yeyote atakaye kaidi agizo hili kati yenu basi hatoteuliw.

Ndugu Mayalla jukwaani hauna influence yeyote kwa wapiga kura( kumbuka ulichovuna kwa wajumbe) Hivyo sehemu pekee ya wewe kulitimiza agizo hilo la Polepole ni hapa.
 
Ukiwa na Baba anaejali kujenga Tu alafu wanae njaa Kali ujue huna Baba apo maendeleo ya watu ni Bora kuliko vitu
 
Hata kabla Mkuu MNAFIKI huyu njaa inamsumbua sana kaamua kuruka huku na kule kumnadi yesu fake ili yesu ampe TEUZI.

Toka umegombea ubunge CCM huaminiki tena...
 
Huu ni wakati wa Mjinga kumuambia Msomi, hakuna ujualo, au Kipofu akajipna anaona zaidi ya mwenye macho.

Na huyu ni wewe Salary Slip, unamuita Pascal nu Baised, what the hell are you fair.

Please at your shit before u call ppl constipation
 
Kama kawaida yenu wana Chadema, hamuwezi kujibu kwa hoja, bali ni mahodari wa kebehi na kutukana, mnatuhakikishia kuwa muu magenge ya kihuni na sio wanasiasa wala wanaharakati, au a PROPER DECENT PEOPLE Haya kama kawaida yenu Pangeni foleni ya kumtukana na kumpa majina Pascal.

He will always be better than the lot of you including yale madebe yenu matupu mnayoyaita viongozi.
 
hahahaaaa hahahaaaa hahahaaaa!!!!

mambo huenda yakiongezeka, mengine hupungua....👇👇

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!



Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi?
 
Kwangu mimi hizi ni kejeli na matusi, watakapo kujibu naomba uvumilie.

Katika mambo yatakayoiangusha CCM Ni kuongelewa flyovers Kasulu, shumbawanga, Tarime, Serengeti, karatu, Mbulu.

Kuongelewa SGR Ngara, Mtwara,.Songea, Kilwa, etc.

Kuongelewa Stiglers.

Hayo Ni Mambo mazuri lkn katika maeneo ambayo miradi hiyo haigusi moja kwa moja Basi itafutwe lugha fafanuzi
 
Umeanza vubaya,katikati ukajaribu kurusha changamoto,mwisho ukaharibu
 

Kama jemedari Mkwawa Na Chifu Mangi Meri wakachukua na vichwa vyao kabisa kwenda navyo huko kwao iwe kumbukumbu!

Maana hawa mashujaa wetu walikuwa ni "extra ordinary".

Mabeberu wana hila sana kuhusu mtu mweusi.

Halafu leo hii mtu anasimama na kuwatetea.

Shame on him.
 

Hizi ni kebehi na dhihaka zisizo na chenga na za kujaza gunia. Zinazungumzia ukweli mtupu wa uchaguzi 2020, HONGERA.

Paskali hii sio tabia nzuri kumtomasa tomasa majeruhi wa moto aliyeungua mwili mzima huku mikono yako ina pili pili. Kila sehemu ikiguswa inauma na kuwaswa.

Huku kwetu kilimanjaro muda Mfupi ujao sauti za vilio zitatanda kote. Lazima tuwe na wawakilishi wetu katika meza kuu ya maamuzi tumechoka. Kwani lazima sisi tuu upinzani? mikoa mingine si ipo, Dodoma, Singida, Tabora, Morogoro, Shinyanga, Simiyu wajiunge kama ni sifa na baraka kukaa upinzani.

Ndafu ikikatwa baada ya kuchomwa na sisi tupo.

Nipo Uswaa, Machame naagalia yanayo endelea bila chenga. Wenzetu CCM tumeona leo watu wanatayarishwa na wakirudi nyumbani moto unawaka, Sisi Chadema tunaambiwa ,' komaa kamanda" unarudi nyumbani paka mweusi kalala kwenye mafiga jikoni. Safari hii hata Banana sizioni.

Uchaguzi mgumu sana wa vyama vingi tangu mwaka 1995. UNGEMALIZIA KWA KUTOA POLE.
 
Always you be taken with poor reasons, no one can deliver without a chance. Those who think are delivering, are in power to collect taxes and other income for our nation, than are using on behalf of Tanzanians. Any one can do something after having a power.
Tunakujua unataka uteuzi, umejitahidi sana, sasa pumzika amekuona hivyo haina haja ya kuanzisha mada kama hizi ili kusisitiza!
 
"utajenga barabara za juu kwa juu za moja kwa moja, ukipanda juu, unakwenda juu tuu straight hadi mbinguni kwa Sir God God mwenyewe!." [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu Pascal, kwa uhalisia kabisa, hupendezei kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Kwa sababu wewe ni mwandishi na mchambuzi mzuri wa mambo mbalimbali, lakini kwa kujiingiza huku kikamilifu kwenye siasa, unaenda kuudumaza uwezo wako mkubwa uliona nao hasa wa kutumia jicho la tatu katika kuyatazama mambo katika nyanja mbalimbali. Tuliovutiwa na mabandiko yako miaka kadha wa kadha sasa, Kuna kitu tuanaenda kukikosa.
Hata hivyo ni haki yako kikatiba. Katika bandiko hili la leo, kwa upande wangu umelimalizia vibaya hasa kwa kumuona dada yule wa Kawe Kama ni mtu mwepesi kwa kiwango hicho.
Lakini pia umetumia maneno ya kumdhalilisha mwanamke,kwamba mwanamke akishaposwa tu hana lolote tena la kuringia hasa kwa mila zetu za Kiafrika,ngoja tusubiri tuone juhudi za Mposaji.
Ni dhahiri kuwa kazi alizofanya Magufuli,zinaonekana. Mfano
1. Ujenzi wa barabara.
2. Kuwanyanyasa wafanya kazi.
3. Kununua ndege.
4. Kuwanyanyasa matajiri na wafanyabiashara wakubwa.
5. Elimu bure
6. Ameshindwa kuwalinda raia wake,watu wametekwa wamepotea,wamepigwa risasi mchana kweupe,hakuna hatua zilizochukuliwa.
7. Kubinya uhuru wa vyombo vya habari.
8. Kuleta nidhamu ya uoga serikalini
8. Kutunyanga'nya uhuru wa kujieleza.
9. Kuchangisha harambee ya ujenzi wa msikiti kanisani.
10. Kusitisha shughuli za kisiasa kwa vyama vya upinzani kwa miaka mitano .
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…