Kura yangu hapa JF tayari kitambo tu, nitatoka.Ku
Kura yako muhimu Sana
2, #OktobaTunatoka 📍Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Mshindi wa Kutoka rekebisha andikoMtanange ulifungwa jana usiku
Jumla ya kura zilikuwa 231
Wakutiki waliapata kura 16 Sawa na asilimia 6.1
Wakutoka walipata 215 kura Sawa na asilimia 93. 9
Mshindi ni WAKUTIKI kwa ushindi wa kishindo
Wamezoea wizi wa kura na kuchakachua matokeo wakakuroga hadi hapo matokeo yawe upande wao japo wameshindwaAsante sana😂😂😂 Dah wakutiki walitaka kuchakachua matokeo🤣