BREAKING: Kapteni John Charles Tesha ni mwanajeshi halali wa anga. Tumepata intake slip yake, intake 58, mkufunzi SAK (Airforce) tokea July 2022.Jamani tukisusa kupiga kura tutakua tumejichanganya najua mashetani wekijani hawatakosa kwenda kupiga kura kwa hiyo tusisuse twende tukapige kura kwa mgombea tunaemtaka
Muda wa kutoka ni leo kwaajili ya Polepole kwanini usubiri hadi 29?
Haya tunaanzia barabara ipi na wewe upo wapi au umechagua kua kunguru?Muda wa kutoka ni leo kwaajili ya Polepole kwanini usubiri hadi 29?
Mimi sina mpango wa kuungana na nyie maana hamna msimamo ni maneno tuHaya tunaanzia barabara ipi na wewe upo wapi au umechagua kua kunguru?
Tunataka ushuhudie sio uandamane wewe utakua pembeni unachukua matukio na kushuhudia live kabisaMimi sina mpango wa kuungana na nyie maana hamna msimamo ni maneno tu
Sawa tukutane wapiTunataka ushuhudie sio uandamane wewe utakua pembeni unachukua matukio na kushuhudia live kabisa
Round About ya Msimbazi pale wewe utachagua uelekeo unataka tuelekee wapiSawa tukutane wapi
TwendeRound About ya Msimbazi pale wewe utachagua uelekeo unataka tuelekee wapi
Tangulia ukifika sema umefika mimi utanikuta nipo hapa Round AboutTwende