Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Tunatiki ✅✅✅✅
Shemela hakutokiki.Fanya UTOKE shemmela
Dish 📡 lishayumba hap kwa mahondawTunatiki ✅✅✅✅
Hapana nimaoni yake, yaheshimiwe 🙏Dish 📡 lishayumba hap kwa mahondaw