Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Hii iwekwe KWENYE gambling tutie mzigleMambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Nadhani ni kazi ya mods!!Naomba msaada kwenye hili mkuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wa KUTIKI na wa KUTOKA! weka kura yako hapa!Naomba msaada kwenye hili mkuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
🤣🤣🤣Kwendraaaa🤣🤣🤣
HIyo ina ban ya zaidi ya siku 90Si ungeweka poll kabisa mkuu! Hii haiko na mvuto