GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
Waraka wa uongo uliokanushwa na Askofu Mkuu Ruwaichi umefanya mtapetape sana.Mnaruka ruka kama bisi kwenye microwave.
Huwezi kuziba jua kwa ungo.Bado hamjasema mtaendelea sana na upumbavu wenu.Fikiria mtu mkubwa na assuming kwamba ana akili za kuvuka barabara anaweka poll ya kijinga eti andika 1 au 2.Bila ya methodology yeyote.Ana jiandikia tu kinachopitia kwenye ubongo wake.Kwa kiswahili Intellect na psyche zote ni akili.Hivyo ukosefu wa akili wa aliyeandika sijui upo wapi kwenye hizo category mbili.
 
Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka

Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka

Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
2
 
Back
Top Bottom