Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
2
kwanini mkuu umeamini yapoMaandamano yapo kweli usipuuze, watu wanaingia barabarani na hakuna mtu ataamini.
Huyu ndo alichangisha mchango humu ikapatikana laki 2 tu. Ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kupost mambo yasiyo na mvuto.Si ungeweka poll kabisa mkuu! Hii haiko na mvuto
2Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Tusubiri kiongozi, zimebaki wiki nne...kwanini mkuu umeamini yapo
Waraka wa uongo uliokanushwa na Askofu Mkuu Ruwaichi umefanya mtapetape sana.Mnaruka ruka kama bisi kwenye microwave.
Huwezi kuziba jua kwa ungo.Bado hamjasema mtaendelea sana na upumbavu wenu.Fikiria mtu mkubwa na assuming kwamba ana akili za kuvuka barabara anaweka poll ya kijinga eti andika 1 au 2.Bila ya methodology yeyote.Ana jiandikia tu kinachopitia kwenye ubongo wake.Kwa kiswahili Intellect na psyche zote ni akili.Hivyo ukosefu wa akili wa aliyeandika sijui upo wapi kwenye hizo category mbili.
2Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
uhalisia wa jamii forum lakini kwa uhalisia wa nje ni tofauti, hapa ukianzisha kura ya oct 29 tuandamane au tusiandamane..kwenye mitandao jibu litakua tuandamane lakini uhalisia utakua tofauti.Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani