GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
Wanaharakati wa Jf na X so stupid
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka

Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka

Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
2
 
Wanaharakati wa Jf na X so stupid
Tabu ni changamoto za afya ya akili.JF keyboard warriors usiwachukulie serious. Njaa na ukichaa zikichanganyika ni balaa.
 
Back
Top Bottom