Mshana ungeweka kipengele cha tatu ingepanua wigo zaidi.Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Ipo angalia hapo juuSi ungeweka poll kabisa mkuu! Hii haiko na mvuto
Wewe akili nyingi msomi kaanzishe uzi wako utumie methodology.Waraka wa uongo uliokanushwa na Askofu Mkuu Ruwaichi umefanya mtapetape sana.Mnaruka ruka kama bisi kwenye microwave.
Huwezi kuziba jua kwa ungo.Bado hamjasema mtaendelea sana na upumbavu wenu.Fikiria mtu mkubwa na assuming kwamba ana akili za kuvuka barabara anaweka poll ya kijinga eti andika 1 au 2.Bila ya methodology yeyote.Ana jiandikia tu kinachopitia kwenye ubongo wake.Kwa kiswahili Intellect na psyche zote ni akili.Hivyo ukosefu wa akili wa aliyeandika sijui upo wapi kwenye hizo category mbili.
Huwa siandiki upuuzi na siungi mkono upuuzi. Hamna polls bila kuelezea methodology yake .Wewe akili nyingi msomi kaanzishe uzi wako utumie methodology.
Imewekwa baadae mkuu!Ipo angalia hapo juu
NRNE 2Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
Sio wewe tu.Wapo wengine wengi tu Keyboard warriors kazi yao kuropoka JF na X.Ni nyoka wa kibisa hawana madhara.Mimi nitakuwa na VPN magetoni naangalia kinachoendelea kupitia mtandao
Shemela usitubanie🤣🤣Maaaaaaniiiiinuuuu shemela...🤣🤣🤣🤣🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿