GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
Hayaa! humu 2 ni nyingi ngoja niwaonee huruma niwape moja japo ya kufutia machozi ila mimi najijua ni 2, hiyo 1, na nyongeza 1, tena 1, zinawatosha hizo kufutia machozi...
 
1759455923571.jpg
 
Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka

Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka

Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
2
 
Vyote ulivyoandika hapo sifanyi ntakua zangu magetoni ni membonji bora kula nyete kuliko kwnd kushiriki huo u maku
 
Back
Top Bottom