Oktoba tunatiki au No reforms No election Nani waliibuka washindi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.

Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
 
Tunatiki walifanya pre election na hatutiki walifanya post election

Winner ni pre election
Ila loser ni hatutiki

On paper Tunatiki alishinda
On ground hatutiki alishinda kwa 100%.

Mpaka sasa anabembebelezwa ili amkubalie tunatiki waweke TAIFA mbele.

Kuhusu katiba, endapo ikipatikana itasaidia Sana Ila 2030 Kama hauna roho NGUMU ni bora kabla ya uchaguzi usiwe nchini .
 
Hakuna kutiki kulikofanyika
Dunia imejua upumbavu na uhuni wa CCM
Nje ya mada: ulipotea mtani wangu mbumbumbu, nikajua Samuya alikufukia kule Kondo
😃😆😀
Yaani nyie Kila wakati mnawaza utopwinyo...

Nipo lakini ndiyo tunaishi kama watu wenye maruhani, hata paka akisukuma mlango tayari moyo unalipuka..
 
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.

Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
Natamani nisikie neno kutoka kwa Luca,Kalamu,Stunex na washirika wao.
 
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.

Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
Kila mtu majibu anayo
 
WAKATI WA KAMPENI "MAMA AMEWATUA NDOO" BAADA YA UCHAGUZI, "AMEWABEBESHA MADUMU WAKATAFUTE MAJI KWENYE CHEMCHEMI" -UVCMM 😄
Chemchem ya Mto Gide Ubungo.
Ulivyo mchafu, watapisha vyoo wanafanya yao kwenye huu mto wakati wa mvua.
 
Mshindi alikuwa ni shetani amevuna watenda dhambi wengi sana kipindi hiki🐼
 
Mimi naona wote wameshinda kwakweli.. wa kutiki kiti kaikalia ingawa kina misumari anatamani kukitupa.
Wa no reform adhma yake ya kuleta taharuki na kufanya nchi isitawalike imefanikiwa 80% wote wameanza kuheahimiana sasa!
 
Back
Top Bottom