Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
- #21
😄😀😆Mimi naona wote wameshinda kwakweli.. wa kutiki kiti kaikalia ingawa kina misumari anatamani kukitupa.
Wa no reform adhma yake ya kuleta taharuki na kufanya nchi isitawalike imefanikiwa 80% wote wameanza kuheahimiana sasa!