Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
😃😆😀Hakuna kutiki kulikofanyika
Dunia imejua upumbavu na uhuni wa CCM
Nje ya mada: ulipotea mtani wangu mbumbumbu, nikajua Samuya alikufukia kule Kondo
Ushindi unakaribia😃😆😀
Yaani nyie Kila wakati mnawaza utopwinyo...
Nipo lakini ndiyo tunaishi kama watu wenye maruhani, hata paka akisukuma mlango tayari moyo unalipuka..
Mungu (ulimwengu) ajaalie!!Ushindi unakaribia
Natamani nisikie neno kutoka kwa Luca,Kalamu,Stunex na washirika wao.Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
Je wenyewe wanaona?WAKATI WA KAMPENI "MAMA AMEWATUA NDOO" BAADA YA UCHAGUZI, "AMEWABEBESHA MADUMU WAKATAFUTE MAJI KWENYE CHEMCHEMI" -UVCMM 😄
Wamevaa miwani ya mbaoJe wenyewe wanaona?
Kila mtu majibu anayoOktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi.
Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
Hii slogan lazima izae matunda hadi sasa majibu tumeanza kuyaoniNRNE
Chemchem ya Mto Gide Ubungo.WAKATI WA KAMPENI "MAMA AMEWATUA NDOO" BAADA YA UCHAGUZI, "AMEWABEBESHA MADUMU WAKATAFUTE MAJI KWENYE CHEMCHEMI" -UVCMM 😄