Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Wewe mchochezi,unaamini OKWI ana miaka hiyo kama si uchochezi tu?
 
Umri ni namba tu,kama anaweza kucheza na akapata Pesa na kuisaidia timu yake tuache majungu
 
Uganda ina program nzuri ya wachezaji vijana, Okwi alianza kucheza Simba akiwa na miaka 17. Huyu Okello wanayemhusisha na Simba nilimwona Kigali kwenye michuano ya cecafa akiwa na umri chini ya miaka 18 na Azam walijaribu kumsajili wakaambiwa walipe $400000 wakashindwa.
 
Ameanza kucheza Tz 2010 akiwa na miaka 19. Jumlisha miaka 14 mbele inakuwa 33.
Unawajua wachezaji wangapi walioaminiwa kuanza timu ya wakubwa na timu kubwa hapa East Africa wakiwa na umri huo?

Utamtaja mmoja tu. Samata
 
Back
Top Bottom