Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

Economically na exposure kaniacha mbali ila siamini kwamba tupo sawa. Kivipi nisiwe na sura hiyo pia
 
Ana utani huyu mbona km baba yangu mdogo aliyeachiwa ziwa na baba 😹😹😹
 
😹😹😹
Miaka inaenda kisengere nyuma, sura imemsaliti.!!
Ngoja aanze kucheza lakini soon mwili utaanza kuisaliti akili.
Akili inataka ukimbie speed hii, upige mpira hivi, ufanye turn ya namna hii, lakini mwili unagoma.
Hapo ndio mwisho wa mpira.
 
Back
Top Bottom