Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu BAK nakuomba kwa heshima na taadhima utuwekee hapa "rock witcha" ya Bobby Brown na "rock me baby" ya Johnny Nash.
Thanks mkuu,ila hiyo Bonus mbona siipati?inasema not available.labda ungentajia jina la wimbo na muimbaji.thanks
Du hapa ni mwendo wa "Old School" tu~mweh.
BelindaJacob Kuna issue nilipokuwa form I ilinitesa sana.... Hi-Life. Wally Badarou
Sio mchezo! Thanks, umenikumbusha mbali sana, nipo na washikaji(beer time) hapa itabidi niwapigie hii habari!Hakai mtu hii ikiwepo hewani, hata wale walioenda kuagiza vinywaji au chama nyoma huahirisha ili kupanda kwenye dancing floor kufanya vitu vyao.
Sio mchezo! Thanks, umenikumbusha mbali sana, nipo na washikaji(beer time) hapa itabidi niwapigie hii habari!
BAK nakupa mtihani.Niambie hizi ni lyrics za wimbo gani na wa nani?sitaki unijibu straight,we weka tu huo wimbo hapa halafu naomba na bonus nyingine uijuayo toka kwa huyo mtu,inaishia na...night.naanza
"I can see clearly now the rain is gone
I can see all obstacles in my way
Gone are the dark clouds that had me blind
It's gonna be a bright,bright,sunshiny day
Oh,yes i can make it now the pain is gone
All of the bad feelings have disappeared
Here is that rainbow i've been praying for
It's gonna be a bright,bright,bright,sunshiny day