Old is Gold: Good music never dies

Old is Gold: Good music never dies

Wale wapenzi wa House & Techno tujikumbushe hizi...
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]*This is Acid[/TD]
[TD]Maurice Joshua[/TD]
[TD]"Kibao hiki kilipigwa marufuku UK[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]*Jack your body[/TD]
[TD]Steve "Silk" Hurley[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hiki kibao kimenikaa sana akilini baada ya live performance ya Nile Rodgers & Chic niliyohudhuria.

[video=youtube_share;u4F3IGk69iU]http://youtu.be/u4F3IGk69iU[/video]
 
Katika miaka ya mwisho ya 90, Snoop Dogg alijiunga na No Limit chini ya Master P na kutengeneza album ya The Game Is To Be Sold, Not To be Told... Katika album hiyo nilitokea kuupenda wimbo wa Slow Down.

Tukirudi nyuma miaka ya 80, ambapo Tz ilingia kwenye madisco ya mchana maarufu kama Boogie, wakali wa wakati huo kama David Joseph na wimbo wake wa You Cant hide walitamba... Nani anaweza kumsahau Colonel Abrams na Trapped yake? Au wale watoto wa kwa mama(UK) na kibao chao cha I.O.U, hapa sitaki kuwataja akina C&C Music Factory wala Technotronic ..(unaweza kugoogle kwa info zaidi)

Midas Touch ya Midnight Star nayo ilitesa sana, then kuna hili kundi la Linear na kibao chao cha Sending All My Love... Kama uliwahi kusikiliza kipindi cha Mtaa wa Mangoma, Radio One (TZ) hapana shaka unaweza kuwakumbuka!

Hivi tunaweza kuwasahau kirahisi kundi la Nu Shooz? Au yule mdada wa Mantronix... Vipi kuhusu Steve V na single yake ya Dirty Cash? Au Shannon na Let the Music Play ambao muziki wao ulifanana na Show Me ya The Cover Girls... Ni kipindi ambacho Walatini walitamba sana kwenye Pop Music.

Pale Ghorofa ya saba, baada kufa kwa Maggoti Living in the Box ilikuwa ndio issue... ilikuwa sio rahisi usiku kupita bila kusikia Peope hold on ya Coldcut...

Then yakaja haya madisco ya beach, kuanzia Msasani hadi Osterbay Vijana wakikodi daladala kwenda kucheza Pump Up The Jam na Criticize ya Alexander O'Neal...

Kabla ya hapo kulikuwa na makundi ya breakdance, kila kitaa kikiwa na kundi lake, kibao kilichowazungua wengi kikienda kwa jina la Rockit kilichotengenezwa na Herbie Hancock..
 
Mkuu BAK nakuomba kwa heshima na taadhima utuwekee hapa "rock witcha" ya Bobby Brown na "rock me baby" ya Johnny Nash.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAK nakuomba kwa heshima na taadhima utuwekee hapa "rock witcha" ya Bobby Brown na "rock me baby" ya Johnny Nash.

Hii nyimbo ya Johnny Nash inanikumbusha mbali sana,enzi hizo mdogo wangu hajui kuongea vizuri hasa hiki kidhungu,basi anaishia kuimba tuu" lok mi lok mi lok mi bei,lok mi lok mi lok mi bei,lok mi tila mo mo moo,"..siku hizi ni HR,tumetoka mbali aisee!
 
Last edited by a moderator:
Hakai mtu hii ikiwepo hewani, hata wale walioenda kuagiza vinywaji au chama nyoma huahirisha ili kupanda kwenye dancing floor kufanya vitu vyao.
Sio mchezo! Thanks, umenikumbusha mbali sana, nipo na washikaji(beer time) hapa itabidi niwapigie hii habari!
 
Karibu Mkuu Kibunango

Kitu kingine hicho Mkuu, I hope utaweza kuifungua maana nyingi za mwaka 47 naona baadhi wanapata shida kuzifungua. Sasa hiki kitu ukisikilize kwenye music system iliyoshiba...acha Mkuu.




Sio mchezo! Thanks, umenikumbusha mbali sana, nipo na washikaji(beer time) hapa itabidi niwapigie hii habari!
 
Last edited by a moderator:
BAK nakupa mtihani.Niambie hizi ni lyrics za wimbo gani na wa nani?sitaki unijibu straight,we weka tu huo wimbo hapa halafu naomba na bonus nyingine uijuayo toka kwa huyo mtu,inaishia na...night.naanza
"I can see clearly now the rain is gone
I can see all obstacles in my way
Gone are the dark clouds that had me blind
It's gonna be a bright,bright,sunshiny day
Oh,yes i can make it now the pain is gone
All of the bad feelings have disappeared
Here is that rainbow i've been praying for
It's gonna be a bright,bright,bright,sunshiny day
 
Last edited by a moderator:
Nimekuambia huyu namzungumzia ana wimbo mwingine unaishia na neno night.nasema hivyo kwa sababu huo wimbo hapo wameimba watu wengi.mie nataka untajie huyu mwenye wimbo mwingine unaoishia na night,na kibwagizo chake cha "jammin".haya niambie mkuu
 


Bonus song from JC


Mkuu siku ya kwanza kuanza kutumia Utube nilifurahi sana maana nilikuwa kama mtoto aliyeletewa toy alipendalo kupita matoy yote lol!!! Yaani kila nyimbo niliyokuwa naifahamiu nikiitafuta tu naipata. Acha utube ipate umaarufu mkubwa sana duniani si kwenye muziki tu bali mambo mengine mbali mbali. Mtihani wako ulikuwa rahisi mno niliufanya in less than a minute lol! hahahahaha jioni njema Mkuu.


BAK nakupa mtihani.Niambie hizi ni lyrics za wimbo gani na wa nani?sitaki unijibu straight,we weka tu huo wimbo hapa halafu naomba na bonus nyingine uijuayo toka kwa huyo mtu,inaishia na...night.naanza
"I can see clearly now the rain is gone
I can see all obstacles in my way
Gone are the dark clouds that had me blind
It's gonna be a bright,bright,sunshiny day
Oh,yes i can make it now the pain is gone
All of the bad feelings have disappeared
Here is that rainbow i've been praying for
It's gonna be a bright,bright,bright,sunshiny day
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom