Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #121
Wewe si una ile ID ya 2009.Mimi ni shule mpya sio ya zamani
Bibi Yako BICHWA KOMWE yuko wapi?Mbamizwa ndege nimelia machzi ya fraha
Sawa jiraniNzuri kabisa. Karibu pande hizi
Ni bure kabisa mkuu. Jumuika nasi mara Moja tugide mbege π₯Mm ni ndugu yako na niko hapo kwenye wengine wengi.
Kuna lipa namba hapo?πππππ
Umemsahau ArushaoneMadame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Kiumbe mwenye nyota yake kali..
Utanipa link aisee kuna kautani ketu nataka nimkumbushe
Mia.figganigga yee yupo sana