Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Punguza sauti mkuu.
 
Tulia wewe mke wa sabaya tufanye kazi yetu
 
Unalalamika hapelekwi mahakamani halafu hapohapo unasema bado wanahojiwa, wakionekana na hatia watapekekwa mahakamani [emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo wewe hutaki afikishwe mahakamani?
Sasa mbona una kiherehere kama tumbo la kuharisha si ndio kwanza siku ya 3 leo wanahojiwa ? Mahakamani atafikishwa maana makosa yake yapo wazi hata mwanangu anajuwa. Ni utaratibu tu wa kukusanya ushahidi ili afungwe vizuri.hili liwe fundisho kwa wote mnaotumia mamlaka kuumiza wananchi.
 
Wee mpuuzi yeye alivyokuwa anawaweka lockup wengine alikuwa anajisikia rahaa mwache asote
 
Huyu kijana angepewa Ukuu wa Mkoa watu wangeumia mno
 
Mmmmm hiyo mahabusu ungejua acha tu ina AC na makochi....ni chumba tu cha kawaida mimi niliwahi kuhojiwa week nzima kama uko home tu ila sasa ukienda kisutu ukakosa dhamana ndio umeisha
Kwahiyo Ukimaliz kuhojiwa unalala hapohapo kwenye makochi? Au wana vitanda?duu ofisi za TAKUKURU ZIPO JUU

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo 2045 atakayechaguliwa naye akiwa genge la akina Sabaya anaweka ndani akina Hamduna.
Tunaenda wapi?
Si " Imeandikwa"
Kisasi ni chake Bwana atalipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…