Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ushahidi wa kumtia Sabaya hatiani upo wa kila aina, kuanzia audio, mpaka video CCTV Camera, sijui hao TAKUKURU wanatafuta nini kisichoonekana.
pengine huo ushahidi tunao ona ushahidi sio ushahidi wa mahakamani uno faha... bora wamuachie huru
 
Kwahiyo 2045 atakayechaguliwa naye akiwa genge la akina Sabaya anaweka ndani akina Hamduna.
Tunaenda wapi?
Si " Imeandikwa"
Kisasi ni chake Bwana atalipa?
aiseeeee
 
Nyie mabaunsa wa sabaya mbona mnaharaka hivyo hata mwaka tu ajamaliza ndani mshaanza kelele
 
Muombe DPP aidhinishe apelekwe mahakamani. Hujui takukuru hawapeleki mtuhumiwa mahakamani mpaka wapate idhini ya DPP.
 

Kwa ninavyomfaham Hamduni, hapindishi Haki
 
Taratibu ndugu,wacha atulie ndani aone utamu wa kukaa lock up,iwe fundisho kwa viongozi wengine wanaopenda kuwaweka raia lock up kwa sababu zisizo za lazima.
Wapinzani waliwekwa sana ndani bila sababu za msingi,kipande kimegeuka.
Undercover kwani kesi ya forgery alimalizaje? pia hiyo ifufuliwe
 
Hivi kumbe mtoa mada ndo mke wa Sabaya!! Shabash
 
Niliunganishwa tu kama shahidi .....mchana fresh tu unakaa pale reception unavwatch tv kunabwatu wanahojiwa hata mwezi mzima....aibu wakichukua cm yako duuuuu wana retreave sms zako zoooote miaka 10 wanasoma kila kitu hakuna siri.....aseeee
Sasa huoni hapo bado huna uhuru wako? Au kisa uliona AC mzee baba?
 
Rais wa sasa ni jinsia ya kike. Kama hizi tuhuma za ubakaji ni za kweli kuhusu wanawake basi Sabaya na marafiki zake are in for a big trouble.

Rais ndio mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, anachokijua ni cha uhakika zaidi.
 
Rais wa sasa ni jinsia ya kike. Kama hizi tuhuma za ubakaji ni za kweli kuhusu wanawake basi Sabaya na marafiki zake are in for a big trouble.

Rais ndio mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, anachokijua ni cha uhakika zaidi.
Ishakula kwake muda mrefu Sana tulie muone mchezo

Huyu dogo ni mpumbavu Sana
Sheria itachukua mkondo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…