Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kama mliiba wote na Sabaya, mkifikiri mnawaibia wapinzani , tangulia kabisa kwa Hamduni!Hapo vip!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Ameminywa nini mkuu?Mpk atubu!View attachment 1804499
Makonda, Ndugai, Mwigulu, Mnyeti, Hapi, Jerry Muro, Gwajima n.kNadhani asiwe Sabaya tu,wote waliofanya uzandiki washughulikiwe.........
Duh...Hii ya kuteka wake za watu hii......halafu kuwaingilia kinyume na maumbile....Duh.......Huo ni umwamba wa hali ya juu...Tukimalizana nae inafata zam yako!View attachment 1804498
Jifunze kutokuamini kila tuhuma..tuhuma utengenezwaDuh...Hii ya kuteka wake za watu hii......halafu kuwaingilia kinyume na maumbile....Duh.......Huo ni umwamba wa hali ya juu...
shit from the shiterHata huyo makonda ana kosa gani kama siyo tuhuma za uongo na kutia chumvi. Mama awe macho na tuhuma za chuki kwa vijana wachapa kazi na wazalendo. Vinginevyo atairudidha nchi kuongozwa na mafisadi kama ilivyokutwa na jpm
Nani alitamka hivyo?Hata magufili mlisema hatokufa kama ben mkapa kiko wapi?
Kwani huyo Makonda aliondolewa na Mama au kabla? Ninavyokumbuka alikuwa na sakata lile la fedha za TASAF na akaambiwa na Mwendazake azirejeshe haraka. Baadae akawacha kwa ridhaa yake ukuu wa mkoa ili kugombea ubunge ambao hakufanikiwa.Hata huyo makonda ana kosa gani kama siyo tuhuma za uongo na kutia chumvi. Mama awe macho na tuhuma za chuki kwa vijana wachapa kazi na wazalendo. Vinginevyo atairudidha nchi kuongozwa na mafisadi kama ilivyokutwa na jpm