Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Sabaya ni sikio la kufa maana kabla ya hapo alishakuwa na kesi ya kujifanya afisa usalama ili apate huduma bure pale Arusha.
Hakuna la kumuhurumia mtu kwa level ya DC kufikia hatua ya kuvamia mahotel ya watu saa 9 usiku na askari wenye silaha akisaka fedha kana kwamba ndiye mwenye dhamana ya TRA. As such MUST BE HANGED!!!!!!!!!!!!
Please respond on these allegations as well.
 
Pole sana... AKILI AMEKUSHIKIA SABAYA... WE NI PUNGUWAN (Kuku asiye na kichwa)

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwisho wa siku watamuachia,sema ndiyo hivyo mambo ya uongozi atasikia kwa hewa tu!

Ova
 
Walitakiwa wamlawiti kisha wamuingizie mamitu huko mkun..ni kama alivyowafanyia watoto wa wenzie kule Hai, how on Earth unalawiti wanaume wenzio kisa una mamlaka , kuna mambo hata shetwany mwenyewe anaogopa kuyafanya
 
Hawa nawashangaa snaa Hawa mshambulii Jerry muro wakt nyakati fln walikwazana sna na lema uwezi sikiaa leo wachaga wakimnanga Jerry muro ila kwa sabaya wanamshambuliaa wote
 
Lazima uwe mjinga hasa kuona matendo ya kijambazi ya Sabaya, yalikuwa ni matendo ya kawaida.

Wale waliodhulumiwa, wazidi kuomba ili jambazi Sabaya apate sawa na matendo yake.
 
Ka Nandy kangebakwa[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app


Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni ubakaji na ulawiti. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi TAKUKURU.

Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi wa Sabaya amekiri kuwateka wasichana hao lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.

"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.

Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali kwao na kuondoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Melvis Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.

Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana anazo tuhuma za kujibu.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia Sabaya tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"

Credit to: Malisa Godlisten
 
wasimuonee bila ushahidi.
pia nawatahadharisha wale walio pewa dhamana ya kuchunguza kamwe wasi kubali wala wasiamini Majngu, hisia na fitina.
wasikubali kupelekeshwa na mihemko ya watu.
lkn kubwa zaidi wakumbuke pia Sabaya alikuwa kiongozi na kama ilivyo kwa kiongozi yeyote sio rahisi kupendwa na watu wote, hakuna DC wala RC yeyote nchi nzima anaye pendwa na watu wote anao waongoza. kwa kuzingatia hilo wawe makini na ushahidi wa kupikwa na kutengenezwa ili mradi tu wamuangamize na kumfeshehesha.
 
Hawa nawashangaa snaa Hawa mshambulii Jerry muro wakt nyakati fln walikwazana sna na lema uwezi sikiaa leo wachaga wakimnanga Jerry muro ila kwa sabaya wanamshambuliaa wote
Alikwazana na lema na sio wananchi
 
We mpelekee uji mwepesi wenye ndimu kwa mbaali sana .Ndio utakua umemsaidia huyo gaidi.Huku unapoteza muda wako tuu.
 
Jifunze kutokuamini kila tuhuma..tuhuma utengenezwa
Mbona wewe umeziamini hizo tuhuma na kuzijudge kuwa ni za kuchonga?
Inatakiwa utulie wakati uchunguzi ukiendelea ili kuona Kama tuhuma hizo Zina ukweli au la. Kitendo chako Cha kuinterfere uchunguzi ni kosa kisheria kwani una lengo la kuziharibu kwa Nia yako uijuayo!
Tena nakushauri ufunge bakuli lako Hilo usije jikuta imekuwa sehemu ya sabaya kwani utashitakiwa kwa kuvuruga uchunguzi! Adhabu yake utaijua siku wakikuhukumu!
Viache vyombo vyenye mamlaka kisheria kufanya uchunguzi vikiwa huru and not biased!
 
Mkuu kwahy jamaaa wameanza kutoa siri za kambi hii mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…