Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Umetumwa kumsafisha.
Maji na sabuni hayatoshi kwani amegina tayari
 
Hayo mambo sijui kwanini hayatukuti watu wa kama sisi hivi huu upuuzi kwenye biashara ambayo sio yako utathubutu kufanya mbele yangu?? No way lazima utajuta mzee labda mniuue kwanza kabla sijawaua
 
Ninaamini Sabaya anaonewa na kutolewa sadaka Kwa kuwafurahisha wachache wenye nia ovu na wakwepa kodi wa serikali,tuliona jinsi alivyokua akiwasaka wakwepa kodi na wadhulumu haki za wanyonge,leo amekua hafai?

Wafanya biashara na wakwepa kodi watakua wamemtengenezea shutuma feki kama kumkomesha,Arusha na Kilimanjaro ina watu waovu sana kwa maslahi yao binafsi...wamekua wakisifika kwa ulaghai mwingi na kwa miaka mingi,kuna mwisho wao utafika hata kama pia walimuondoa JPM lakini atakuja wa mfano wa zaidi ya JPM
 
vip!

Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila.

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja.

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake. Kuna kikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.

wa kishamba mpaka jf...au kama umesha muuzia m#shi niache kuandika thread kuanzia leo.
 
Naomba Melo kama wewe ni mkurugenzi wa hili jukwaa uwe makini sana kwasabsbu kuna madmin wanaukabila na usiasa na wakishaona thread isiyoendana na matakwa yao wanaunganisha ili mradi wavuruge maana husika ya thread kwa maslahi yao..NB Melo kunawatu waanza kuleta ukabila wa kishamba mpaka jf...au kama umesha muuzia m#shi niache kuandika thread kuanzia leo.
Kwa hiyo wewe wataka uchunguzi wa tuhuma dhidi ya mshikaji wako Ole Sabaya, UACHWE hivihivi tu?
Hivi mwenzetu watumia sheria za wapi?
 
Swali la kujiuliza wewe mwenyewe ni kwamba Tanzania ina wakuu wa wilaya wangapi mpaka yeye peke yake atuhumiwe na kukamatwa? Kuna clip ya mkutano wa wafanyabiashara na watu wa ofisi ya Rais juu ya malalamiko ya Sabaya ulifanyika enzi za mwenda zake, ulipata fursa kuitazama pia? Kama bado nakushauri kaitazame kisha rudi hapa.
 
vip!

Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila.

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja.

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake. Kuna kikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.

Naomba Melo kama wewe ni mkurugenzi wa hili jukwaa uwe makini sana kwasabsbu kuna madmin wanaukabila na usiasa na wakishaona thread isiyoendana na matakwa yao wanaunganisha ili mradi wavuruge maana husika ya thread kwa maslahi yao..NB Melo kunawatu waanza kuleta ukabila wa kishamba mpaka jf...au kama umesha muuzia m#shi niache kuandika thread kuanzia leo.

Kila mtu ana uhuru wa kuwaza anchokifikiri, ila tupishe uchunguzi hakika watakuja na majibu ya maswali yako, ukiona kila mtu anakuongelea vibaya jitazame una kasoro kubwa,
 
Ukitaka kujua taarifa zake sabaya ni chafu na zina ukakasi kwa ushahidi kabisa muulize mkurugenzi wa ahsante tour, matendo ya kishetani ya huyu bwana mdogo aliyo yafanya ni lazima alipie malipo ni hapa hapa duniani, wewe jamaa nawasiwasi na upataji wako wa habari, hauko karibu sana kufuatilia habari za nchi yako,
 
vip!

Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila.

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja.

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake. Kuna kikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.

Naomba Melo kama wewe ni mkurugenzi wa hili jukwaa uwe makini sana kwasabsbu kuna madmin wanaukabila na usiasa na wakishaona thread isiyoendana na matakwa yao wanaunganisha ili mradi wavuruge maana husika ya thread kwa maslahi yao..NB Melo kunawatu waanza kuleta ukabila wa kishamba mpaka jf...au kama umesha muuzia m#shi niache kuandika thread kuanzia leo.
Hivi kweli unawaza kwa kutumia kichwa au matako?
 
Mkuu kwani vipi? Ndani ya siku moja umeleta uzi huu huu mmoja mara mbili ila kwa title tofauti. Utafanya watu wafikiri kuwa una ajenda yako binafsi.

Kaa utulie na usubiri uchunguzi ukamilike na ndio utakaokuja na majibu kuwa ana hatia ama la.

Ukute ndiyo sabaya mwenyewe
 
vip!

Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila.

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja.

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake. Kuna kikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.

Naomba Melo kama wewe ni mkurugenzi wa hili jukwaa uwe makini sana kwasabsbu kuna madmin wanaukabila na usiasa na wakishaona thread isiyoendana na matakwa yao wanaunganisha ili mradi wavuruge maana husika ya thread kwa maslahi yao..NB Melo kunawatu waanza kuleta ukabila wa kishamba mpaka jf...au kama umesha muuzia m#shi niache kuandika thread kuanzia leo.
Wewe mt wa Sabaya na mmekula wote, sema wewe hujakamatwa.
 
Sabaya behind the bars[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom