Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Na huko ni Mbowe amewatuma?Shule za waislamu zinachomwa kila kona ikiwemo Kimbweru yalipo makao makuu ya bakwata na Mtambani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huko ni Mbowe amewatuma?Shule za waislamu zinachomwa kila kona ikiwemo Kimbweru yalipo makao makuu ya bakwata na Mtambani!
Unamuuliza nani sasa bwashee!!Na huko ni Mbowe amewatuma?
Wala sio hatari, ni mpuuzi anajilipua mwenyeweHapa sabaya anamlenga tu mbowebndio maana anasema kua awabembeleze.
Sabaya ni mtu atari sana,anataka mbowe asishinde kwa kila aina ya matukio.
Sabaya kaa ukijua kua wewe ni Binadamu kama binadamu wengine.
Lakini mpuuzi wenu anamlengaSidhani kama Mbowe anaweza kufanya ujinga wa kuchoma shule ya waislamu
Bwashee kuna maisha nje ya siasa ujue!
Amsterdam atamtetea hawana wasiwasi.Mwenyekiti wa saccos, safari hii umedakwa kila kona. Wanafunzi lazima wakutaje tu, maana najua mtu Mzalendo na mwadilifu hawezi fanya upuuzi huo.
Vijana wa Lumumba hawajuagi hili.Bwashee kuna maisha nje ya siasa ujue!
Mbowe atashindwa kwa madudu yake mwenyewe hata yeye anajua na Wala wasimsimsingizie Sabaya wa watu..Hapa sabaya anamlenga tu mbowebndio maana anasema kua awabembeleze.
Sabaya ni mtu atari sana,anataka mbowe asishinde kwa kila aina ya matukio.
Sabaya kaa ukijua kua wewe ni Binadamu kama binadamu wengine.
Kwanini Mbowe anahusishwa/kutajwa?Na huko ni Mbowe amewatuma?
Umejuaje kwamba mlengwa ni Mbowe?
Inachomwa na Waislam wasiotaka kuisikia BAKWATA, wanasema BAKWATA ndio adui wao namba mojaShule za waislamu zinachomwa kila kona ikiwemo Kimbweru yalipo makao makuu ya bakwata na Mtambani!
Wanao tumia mattercho kufikiri ndio wanamhusisha mume wao Mbowe na kila baya nchini. Hata kule kusini Mikoroshoni wanatamani waseme Ni Mbowe ndio kawaleta watekaji.Kwanini Mbowe anahusishwa/kutajwa?
Yaaaninunaiita chadema saccos wakati wakubwa zako hawalali Embu kaangalie clip za lisu kanda ya ziwa kanda naenda za juu kusini kanda ya kati, kanda ya ziwa Victoria , kanda ya kaskazini, kanda ya ,magharibi.... kwa sasa chama cha mchango ndo saccos ya wale wezi wa mbali za ummaMwenyekiti wa saccos, safari hii umedakwa kila kona. Wanafunzi lazima wakutaje tu, maana najua mtu Mzalendo na mwadilifu hawezi fanya upuuzi huo.
Hakuna Kitu kibaya / Jambo baya duniani kama 'Kumuamini' Mtu ( Binadamu ) 100%. Kawaida tu 'Siri' ya Mtu iliyopo Moyoni mwake ni Kichaka pia.Sidhani kama Mbowe anaweza kufanya ujinga wa kuchoma shule ya waislamu
Mshtue Sabaya atakuwa anajua kama wewe huna jibuUnamuuliza nani sasa bwashee!!