Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Wewe utakuwa moja ya mlinzi wa Sabaya uliyesahaulika kwenye kesi [emoji23]
 
Ebhana kwa mtu anayejielewa na kujitambua unapopewa nafasi ya kiuongozi kubwa kama iyo inafaa kuishi vizuri na watu na pia kuacha hii tabia ya kuvimba hii ni aina moja wapo ya kitu kinachotuponza sana vijanq sio tu pale tunapopata nafasi kubwa ya mamlaka bali ata pia pale vijana tunapofanikiwa kupata kipato kikubwa sana katika umri wa ujana mara nyingi huwa tunakitumia kipato chetu kama fimbo ya kuwachapia wengine tujifunze na kujirekebisha
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya.

Yamesemwa mengi, lakini kumtuhumu Sabaya kwa kelele za mitandao hii si haki, inaelezwa kafanya uhujumu uchumi, tuelezwe ni uchumi upi amehujumu?

Utakatishaji gani umefanyika, ujambazi wa kutumia silaha aliufanya wapi na lini pia silaha alizokutwa nazo ni zipi

Makosa ametenda kati ya january na february mwaka huu, kipindi hiki Sabaya alikuwa aishi Hai.. Makosa hayo yametoaje Arusha?
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya

18 May 2021 fika mahakamani Arusha kajiaunge na jopo lake la Utetezi . Hakimu/Judge anaendesha Kesi ya Sabaya anatakiwa akusikilize kwa mdomo wako live. humu JF hizi oja zako azimsaidii mpendwa wako Sabaya
 
Binafsi sina Imani na anayotendewa,,,, au huyu anaandaliwA ili Yule mgeni apitiwe kikamilifu.
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya

Yamesemwa mengi, lakini kumtuhumu Sabaya kwa kelele za mitandao hii si haki, inaelezwa kafanya uhujumu uchumi, tuelezwe ni uchumi upi amehujumu?

Utakatishaji gani umefanyika, ujambazi wa kutumia silaha aliufanya wapi na lini pia silaha alizokutwa nazo ni zipi

Makosa ametenda kati ya january na february mwaka huu, kipindi hiki Sabaya alikuwa aishi Hai.. Makosa hayo yametoaje Arusha?
Nenda kaungane mahakamani umchangie wanaasheria hapo tutakuelewa....usisahau sabuni jela atakaa sana ...
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya

Yamesemwa mengi, lakini kumtuhumu Sabaya kwa kelele za mitandao hii si haki, inaelezwa kafanya uhujumu uchumi, tuelezwe ni uchumi upi amehujumu?

Utakatishaji gani umefanyika, ujambazi wa kutumia silaha aliufanya wapi na lini pia silaha alizokutwa nazo ni zipi

Makosa ametenda kati ya january na february mwaka huu, kipindi hiki Sabaya alikuwa aishi Hai.. Makosa hayo yametoaje Arusha?

Wee mtetee uwezavyo, lakini hii masai tunaifunga!
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya

Yamesemwa mengi, lakini kumtuhumu Sabaya kwa kelele za mitandao hii si haki, inaelezwa kafanya uhujumu uchumi, tuelezwe ni uchumi upi amehujumu?

Utakatishaji gani umefanyika, ujambazi wa kutumia silaha aliufanya wapi na lini pia silaha alizokutwa nazo ni zipi

Makosa ametenda kati ya january na february mwaka huu, kipindi hiki Sabaya alikuwa aishi Hai.. Makosa hayo yametoaje Arusha?

2797542_IMG-20210604-WA0005.jpg
 
Nadhani Mawakili Hawa hawakuandika Vizuri haya mashitaka...Yaani Siku moja alifanya makpda hayo yote warekebishe hii charge huyu mtu atulizwe jela shenzy type....Hivi Albert Bashitre yeye lini atadakwa?
 
Kuna kitu kinaitwa Locus Standi yaani roughly ni kama kusema msingi wa kesi, unapoenda fungua kesi inatakiwa hiyo kesi iwe na msingi ikikosa msingi hua haifunguliwi. Au hata ikifunguliwa upande wa utetezi wanaweza kutumia hii kitu ili kushinda kesi asubuhi na mapema.

Hivyo ukiona mmefika mahakamani inamaanisha upande wa mashtaka umejiridhisha kwamba haya makosa yana msingi. Natumaini upo upande wa utetezi wa mtuhumiwa hivyo jenga hoja kwamba siyo sahihi mtuhumiwa kutuhumiwa kwa kelele za mitandao. Huwezi jua unaweza onyeshwa makosa yalipotokea.

Mfano aliyedhulumiwa 90M na hata sikuwahi msikia humu alijazana Swai tu kumbe kuna huyu. Anyway, kwanini sasa alitumia silaha kuchukua simu na 35,000? I mean binafsi siwezi risk jela kwa kosa kama hilo ila yeye alifanya hivyo ni kama vile alikua amefikia hatua asiponyang'anya kitu analala anaumwa usiku kucha.
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya

Yamesemwa mengi, lakini kumtuhumu Sabaya kwa kelele za mitandao hii si haki, inaelezwa kafanya uhujumu uchumi, tuelezwe ni uchumi upi amehujumu?

Utakatishaji gani umefanyika, ujambazi wa kutumia silaha aliufanya wapi na lini pia silaha alizokutwa nazo ni zipi

Makosa ametenda kati ya january na february mwaka huu, kipindi hiki Sabaya alikuwa aishi Hai.. Makosa hayo yametoaje Arusha?
Hukumu za ama Kufungwa Jela Maisha au ya Kutokunyongwa kabisa zisipotokea sitoiamini tena Mahakama ya Tanzania, ila ikitokea mojawapo ya haya Mawili GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha ' iliyotukuka ' kabisa.
 
Wapi ww bendera fuata upepo, ww si ndio bingwa wa kusifia madhalimu hapa nchini, ikiwemo huyo unayelinda kaburi lake? Umeona kibao kimemgeuka ndio unajifanya kuleta uzi wa kubalance shobo. Kafie mbali.
Yuko mpuuzi mmoja kauli mbiu yake ni mzee kaziba myanya ya upigaji ,sijui nini.....pumba nyingi sijui kaelekea wapi saiz ,yani bongo zao Kama za njiwa
 
Back
Top Bottom