Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Akili zako kweli za ki andunje anduje ,hilo jambazi lenu limepewa charges chache sana bado za mashambulio ya kudhuru mwili na ubakaji.
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya..
Kawaulize TAKUKURU waliompeleka mahakamani.

F6AE5408-E038-41C3-B2B2-D65A42434A77.jpeg
 
Sabaya hafungwi mtoa maada usiumie...Nina uhakika [emoji817]
 
Inavyoelekea walikosa ushahidi Kwa tuhuma za hai, wakaona well tusipompeleka mahakamani itaonekana hatujafanya lolote, wakaja na hizo charges , kuteka na kuiba simu ya tekno.

Kuendesha genge la uhalifu, ujambazi wa kutumia silaha.

Aisee.
 
Mtoa mada upo sawa hii ndio dunia, wapo wajinga wengi waliofurahia kazi za Saambaya , wapo Wenye maamuzi waliziba masikio kisa tu kilio kipo nyumba ya jirani.Tutambue sote ni Watanzania, ule ujinga na ushamba kupandiza ugaidi, chuki tumshukuru Mola kutuondoshea kinara.
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya...
Ni washenzi wachache wenye pesa watakua wamehonga pesa zao kuanzia chini mpaka juu kuhakikisha wanamkomesha na wao waendelee kua wezi wasiguswe
 
Inavyoelekea walikosa ushahidi Kwa tuhuma za hai, wakaona well tusipompeleka mahakamani itaonekana hatujafanya lolote, wakaja na hizo charges , kuteka na kuiba simu ya tekno.

Kuendesha genge la uhalifu, ujambazi wa kutumia silaha.

Aisee.
Huenda ni kweli kabisa
Sabaya alikuwa Hai, huko ndiko tulitaka tusikie shutuma nzito zikitokea huko
 
Kwani bado hamuamini kuwa awamu ya tano imeshapita ? Huyo Sabaya hadi kuna clip mfanyabiashara analalamika jinsi Sabaya anavyomuonea lakini baba yake aliyemteua alikaa kimyaaa.

Sabaya alibambikia watu kesi ya kuhujumu miundombinu ya Reli ,RPC akakanusha kuwa si kweli. Wakati yeye anabambikia watu kesi mlikuwa mnakenua meno kwa furaha eeeh. Malipo ni hapa hapa Duniani acheni avune alichopanda.
 
Mimi hapa nawakilisha wananchi wengi ambao tutamiss utendaji kazi wa Sabaya

Yamesemwa mengi, lakini kumtuhumu Sabaya kwa kelele za mitandao hii si haki, inaelezwa kafanya uhujumu uchumi, tuelezwe ni uchumi upi amehujumu?..
Kesi ipo mahakamini, tuiachie mahakama ifanye kazi yake.
 
Lazima muanze kujiandaa kisaikolojia mjue kbs mmepanga kufanya Nini endapo huyu mnayemuona Ni mtesi wenu hatafungwa..tatizo lenu Ni Moja tu hamuwajui watu wa Kanda ya kaskazini tabia zao..ukitaka kuwajua tabia zao angalia maisha ya mbowe,sumaye,lowasa n.k angalieni walichowafanyia..kwanza Mimi nashangaa eti mnaona ajabu kwa aliyekuwa kiongozi kupelekwa vyombo vya dola mnasahau hata Kuna mawaziri wa awamu ya tatu na mabilionea fulani washapelekwa rumande na wengine kufungwa kabisa.Sasa sijui mtaandamana au mtafanyaje?.

Kwanini msishupalie na vitu vyingine mfano watoto wenu kupatiwa ajira maana Ni haki Yao na pesa zipo nyie mnakomalia ishu zisizo na maana kivile.Simtetei sabaya lakini najua Kama kijana mwingine yoyote mihemko Ni Jambo la kawaida huenda alipokuwa DC alikuwa kweli akilewa na kutongoza wasichana wa watu ndo maana akajengewa chuki lakini Hilo sio tatizo kisheria.ila hili la kusema eti ameonea wafanyabiashara Hili hapana Bali alikuwa akitimiza majukumu yake na hakuwa peke yake walikuwa wanaenda sehemu na kamati yote ya ulinzi ya wilaya kwa hivyo Hapo poleni mtaangukia pua mapema sana.
 
Ikiona ana hatia utafanyaje.

Usisahau kumpelekea uji.
 
Lazima muanze kujiandaa kisaikolojia mjue kbs mmepanga kufanya Nini endapo huyu mnayemuona Ni mtesi wenu hatafungwa..tatizo lenu Ni Moja tu hamuwajui watu wa Kanda ya kaskazini tabia zao...
Una Mhaho....
 
Back
Top Bottom