Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

Hujui wakili ana maana gani kujipendekeza kwa mahakama.

Kama mnampenda bora akae huko huko.

Your browser is not able to display this video.


Uraiani wanamtamani sana 😁😁.
 
Siku hizi mahakama hazipokei amri kutoka juu sasa upande wa pili hukumu ikitoka msije .kasema hiyo ni amri kutoka juu mahakama ziko huru sasahivi
Hakuna bado kesi yenye vigezo vya kumfunga Mbowe iliyokwisha kupelekwa mahakamani mpaka sasa wewe subiri siku mjela mjela Sabaya atakapotakiwa mahakamani kutoa ushahidi kwenye hili case azushe tena kesi nyengine.

Kesi ya Mbowe inayoendelea mpaka sasa imeshakuwa aibu maana watuhumiwa wamekamatwa nje ya utaratibu unaotakiwa hilo tayari ni kosa,kosa la pili ni baadhi ya wakamataji kukiri hadharani mbele ya judge kwamba ktk ufanyaji kazi wao hawajawahi hata mara moja kuzingatia PGO wengine wakaenda mbali wakasema hata hiyo PGO hawajui inafananaje haya wewe niambie ktk mazingira haya jaji akitaka kupindisha sheria atapitia wapi.
 
Hukufuatilia?
Yule mtoto ni mpumbavu,mahakamani unaambiwa jitetee dalili kwamba mbele siyo kuzuri unatoa sababu ya kitoto eti nina mchumba nimetoa mahari nitashindwa kumuowa?

Ilibidi aseme hata wazazi wake ni wazee sana wanamtegemea ila siyo utoto ule.
 

Hao akina Sabaya ndio waliagizwa na yule kiongozi muovu kwenda kumshambulia Lisu kwa risasi. Yale tuliyokuwa tunayasema kila siku kuwa tulikuwa tunatawaliwa na kiongozi muovu awamu ya tano, akiwa na kundi lake la watu wasiojulikana, ukweli unazidi kukaa wazi peupe. Ww sukuma gang ni mtetezi wa uovu wa mwendakuzimu, maana ulifaidika na maovu ya utawala wake.
 
Huyu sie ndiye mchumba wake aliyemlipia mahali wandugu?,kama kapagawa hivi.
 
Umetumwa wewe sukuma gang kwa
 
Ushahidi wa video wa CCTV pia hauna weledi? Tatizo chama chako wewe na Sabaya kimeingiliwa na pepo wa ujambazi, kutesa watu, kuua, kupora, group sex nk. Katika kesi hii Sabaya alisema alitumwa na MAGUFULI uporaji na hana welediβ€½
 
We kijana una matatizo.
 
Ushahidi wa video wa CCTV pia hauna weledi? Tatizo chama chako wewe na Sabaya kimeingiliwa na pepo wa ujambazi, kutesa watu, kuua, kupora, group sex nk. Katika kesi hii Sabaya alisema alitumwa na MAGUFULI uporaji na hana welediβ€½
Hujui lolote.
 
Kagawane naye 15 kwa 15.
Nakumbuka, wewe ni mmoja ya waliokuwa wanamsifia sana kila ulipokuwa unaandikwa UNYAMA wake hapa!
Unaweza kuta huyo ni yule mchumba aliyelipiwa mahari [emoji23][emoji23]
 
Kila siku mahakimu kama hawa wanaumbuka High Court.
Hukusikia kuwa aliitoa silaha na kuigonga gonga kichwani kwa yule diwani?
Hivi Unajua kuwa ukiingia kwa jinai mahali popote hata ukiweka silaha mezani tayari umeshafanya matumizi yake?
 
wewe n hakimu wa mahakama gani?
 
Mabwanyenye wa kimachame waliyopanga kulipa kisasa kwa mwanamapinduzi sabaya kwa kazi ya kizalendo kwa taifa wajitayarishe kukosa hii raha wanaona saa hizi. Kwenye rufaa bila shaka ndio haki itatendeka.
 
Siku hizi mahakama hazipokei amri kutoka juu sasa upande wa pili hukumu ikitoka msije .kasema hiyo ni amri kutoka juu mahakama ziko huru sasahivi
Ngoja tuone na hukumu ya gaidi kama watakuja kusema upuuzi kama huo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…