Hujui wakili ana maana gani kujipendekeza kwa mahakama.
Kama mnampenda bora akae huko huko.
Uraiani wanamtamani sana 😁😁.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui wakili ana maana gani kujipendekeza kwa mahakama.
Hakuna bado kesi yenye vigezo vya kumfunga Mbowe iliyokwisha kupelekwa mahakamani mpaka sasa wewe subiri siku mjela mjela Sabaya atakapotakiwa mahakamani kutoa ushahidi kwenye hili case azushe tena kesi nyengine.Siku hizi mahakama hazipokei amri kutoka juu sasa upande wa pili hukumu ikitoka msije .kasema hiyo ni amri kutoka juu mahakama ziko huru sasahivi
Yule mtoto ni mpumbavu,mahakamani unaambiwa jitetee dalili kwamba mbele siyo kuzuri unatoa sababu ya kitoto eti nina mchumba nimetoa mahari nitashindwa kumuowa?Hukufuatilia?
Ndio afanye hivyo. Afanye appeal sio kuishia kutoa Notice.Notice of intetion to appeal within 13 days.
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.

[/QUOTE
Umetumwa sukuma gang mtulie.....sio siraha ni silaha....ona unavyobangua acheni sabaya apakatwe....miaka 30 ataolewa kabisa
Wanafaa kwa kesi za Wapinzani, MTU anayemtetea Sabaya namdharau sanaMy take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Kwenu sio kwetu sasa!Hilo jina lako kwa kilugha chetu maana yake ni ile ya mwanamke kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ushahidi wa video wa CCTV pia hauna weledi? Tatizo chama chako wewe na Sabaya kimeingiliwa na pepo wa ujambazi, kutesa watu, kuua, kupora, group sex nk. Katika kesi hii Sabaya alisema alitumwa na MAGUFULI uporaji na hana weledi‽Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
We kijana una matatizo.Hao akina Sabaya ndio waliagizwa na yule kiongozi muovu kwenda kumshambulia Lisu kwa risasi. Yale tuliyokuwa tunayasema kila siku kuwa tulikuwa tunatawaliwa na kiongozi muovu awamu ya tano, akiwa na kundi lake la watu wasiojulikana, ukweli unazidi kukaa wazi peupe. Ww sukuma gang ni mtetezi wa uovu wa mwendakuzimu, maana ulifaidika na maovu ya utawala wake.
Hujui lolote.Ushahidi wa video wa CCTV pia hauna weledi? Tatizo chama chako wewe na Sabaya kimeingiliwa na pepo wa ujambazi, kutesa watu, kuua, kupora, group sex nk. Katika kesi hii Sabaya alisema alitumwa na MAGUFULI uporaji na hana weledi‽
Waheshimu Lumumba aisee, hawawezi kuajiri tahira kama huyuEwe kia.. z unafahamu nini !?
Zaidi ya kufizia buku7 za hapo lumumba.
Unaweza kuta huyo ni yule mchumba aliyelipiwa mahari [emoji23][emoji23]Kagawane naye 15 kwa 15.
Nakumbuka, wewe ni mmoja ya waliokuwa wanamsifia sana kila ulipokuwa unaandikwa UNYAMA wake hapa!
Hukusikia kuwa aliitoa silaha na kuigonga gonga kichwani kwa yule diwani?Kila siku mahakimu kama hawa wanaumbuka High Court.
wewe n hakimu wa mahakama gani?Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Mabwanyenye wa kimachame waliyopanga kulipa kisasa kwa mwanamapinduzi sabaya kwa kazi ya kizalendo kwa taifa wajitayarishe kukosa hii raha wanaona saa hizi. Kwenye rufaa bila shaka ndio haki itatendeka.Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Ngoja tuone na hukumu ya gaidi kama watakuja kusema upuuzi kama huo.Siku hizi mahakama hazipokei amri kutoka juu sasa upande wa pili hukumu ikitoka msije .kasema hiyo ni amri kutoka juu mahakama ziko huru sasahivi
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na siraha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia siraha.
Ili unyang'anyi wa kutumia siraha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa siraha, kutumia siraha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linasithibitishwa.
Lakini hata mashahhidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.mchumba Sabaya tafuta bwana mwingine hii haikusaidii