Mtoa mada nenda Hai kapate habari kamili za huyo mtu aisee sina hamu naye hata hiyo 30 bado naona ni michache.Wewe ni nani hata umkosoe hakimu mzoefu katika kazi yake ambayo ameizoea na mpaka kuizeekea!!??
3. Kumsachi mtu na kuchukua hela zake ( Msangi 390,000 na simu) huku ameshikiwa bastola. Mbona hunijibu no 1 na 2?Katika haya ulioorodhesha kuna unyag'anyi wa kutumia siraha?
Kata rufaa, muhimu Sabaya amefungwa mengine baadaeNimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Mtoa mada alikuwa ananunuliwa bia na SabayaMtoa mada nenda Hai kapate habari kamili za huyo mtu aisee sina hamu naye hata hiyo 30 bado naona ni michache.

Huwa najiuliza aliyemteua alikuwa mzima kweli?Mpaka ziishe kesi zote atakuwa amefungwa miaka 200. Bado mkoani Kilimanjaro nako watu wamefungua kesi, nako atafungwa jumla miaka 300. Huku kaskazini watu Wana elimu na wanajielewa. Hakuna mtu wa kuogopa kudai haki yake.
Ulishaambiwa jamaa alikuwa sadist, pia ana file mirembeHuwa najiuliza aliyemteua alikuwa mzima kweli?
Sasa mbona sabaya kaomba msamaha wa kufanya unyang'anyi kwa vile alitumwa na bosi wake????Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Kwa hiyo silaha aliyoibeba Sabaya kwenye eneo la tukio waiona kama kikombe cha kahawa? Au kama peni ya kuandika?Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Ukweli hakuwa mzima hata kidogoUlishaambiwa jamaa alikuwa sadist, pia ana file mirembe
Yani atumie bastola yake mwenyewe kuiba halafu useme hakutumia silaha,hao vijana wake wote kaokota hawana kazi walikua ndio waporaji wenzake...bado hii ingine nayo ina 30 miakaNimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Rudi angalia clip akiwa dukani kashika bastola yake OG sio ile feki ya zamaniKwani kuvaa silaha kiuoni ndio kufanya uhalifu?
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake
Tuwe na akiba ya manenoUnajipa matumaini. Kubali tu kuwa haki imetendeka na imeonekana kutendeka Subiri tuone!!
WEWE NAYE HUWE UNATUMIA AKILI KWANI UJUI KUWA SABAYA KAHUKUMIWA NA IKULU [emoji849][emoji849]HUKUMU YOTE IMEANDALIWA IKULU NA MAMA SA 100Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali. Ukifuatilia kesi ya Sabaya utaona kuwa hakuna mahala hili linathibitishwa.
Lakini hata mashahidi wa mashitaka wanakiri kuwa Sababya na wenzake walikwenda na magari ya Serikali kufanya upekuzi juu ya magendo. Hapa ndipo utaona kama kuna walakini, maana hata mkuu wa wilaya ya Arusha wakati huo alifahamu.
My take; Mahakimu wanaofanya kazi kwa kukariri hawafai.
Sabaya na wewe wote wapuuzi.Kila siku mahakimu kama hawa wanaumbuka High Court.