Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Na chama chake cha mapinduzi (CCM). Hili ndilo tatizo la kuteua nafasi za kiserikali (mkuu wa wilaya) kwa kuangalia itikadi. Hata elimu ndogo tu ya siasa inatosha kumuongoza mtu.Aondolewe na nani?
Hadi mwaka huu uishe, wote tutakua tumeelewa mapungufu ya mwendazake.