Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Commissioner wa tume ya madawa ya kulevya.Huyu James Kaji ni nani au alikuwa na ni kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Commissioner wa tume ya madawa ya kulevya.Huyu James Kaji ni nani au alikuwa na ni kwani?
"mama ndio rais na ndio mwenyekiti wa chama"Kwahiyo unabisha kua Ofisi ya Rais ina macho mapana? Sasa endeleeni kutumiwa na sabaya wajinga nyie. Mama ndio Rais na ni mwenyekiti wa Chama tuone mtafanya nini?
Hatuwezi kuacha kujenga taifa katika misingi ya amani na utulivu kwa sababu ya mjinga moja tena level ya DC. Akae asubiri uchunguzi ukikamilika kama hana hatia atakua huru, kama alidhulumu sheria itachukua mkondo wake.
Akifungwa ndo mtajua anachosema huyu jamaa,jifanyeni vichwa ngumuUsitishe watu mjinga wewe,eti taasisi ya Raisi ina macho mengi,danganya wajinga,acha watu waongee wanachoamini,kamtishe mkweo huko
Ujitete kwa kumsema Rais? My friend unakuwa unajichimbia KaburiMimi hapa ndio huwa sielewi. Kabla na baada ya Ole Sabaya kusimamishwa mlikuwa mnajaza nyuzi humu za kumshambulia! Ila yeye au mtu akimtetea ni kosa sio? What's the meaning of natural justice!?
Sidhani kama Wanasiasa huwa wanaamini katika Mungu!Sabaya anajua kama haya yaliyosemwa ni ya kweli au ni uongo. Kama ni ya kweli Sabaya mwombe Mungu na wanadamu uliowakosea msamaha. Umetenda dhambi na mshahara was dhambi ni mauti kwa amri ya Mungu na wala siyo amri ya Rais. Kama unaonewa sali kama Paulo na Sila ili milango ya gereza ifunguke. Ujeuri na ubabe havina nafasi mbele ya Mungu. Wewe ni mkristo.
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Mkuu ungetupia japo screenshots za matusi ya makundi hayo ingependeza Sana.Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi nikiri nimo kwenye makundi hayo,
Nilikuwa hana mwendo baada ya kwenda cloudsHuyu Sabaya ni mjinga sana, amewatengeneza mamluki wa kumtetea, na yeye mwenyewe kwa kupitia accounts zake za JF, amekuwa akipost kila mara mada ya kuonesha kuwa yeye ni mtu safi bali alikuwa anafanya uovu kwa sababu ya maelekezo toka kwa marehemu.
Lakini kwa hakika jibu atalipata. Rais Samia siyo mjinga. Unadhani kwa nini Hapi na Chalamila, licha ya kusemwa sana, hawajasimamishwa? Hapi na Chalamila, ni mdomoni tu, lakini hawajaua mtu wala hawajapora mali ya mtu, tofauti na Sabaya ambaye ametenda grave crimes ambazo ni lazima uwe hayawani kukubali kuwa ni mambo ya kawaida.
Vyombo vinavyochunguza, vimalize kazi haraka, Sabaya asimamishwe mahakamani, na aende wanakoishi waovu kama yeye.
Well said, rule of law! Ova! Uzuri Afande Mwarabu koko yuko kwa ajili ya haki ( business as usual) na Malafiale Mwakitalu lazima naye asimamie haki ( first impression) kwa umma.Huyu Sabaya ni mjinga sana, amewatengeneza mamluki wa kumtetea, na yeye mwenyewe kwa kupitia accounts zake za JF, amekuwa akipost kila mara mada ya kuonesha kuwa yeye ni mtu safi bali alikuwa anafanya uovu kwa sababu ya maelekezo toka kwa marehemu.
Lakini kwa hakika jibu atalipata. Rais Samia siyo mjinga. Unadhani kwa nini Hapi na Chalamila, licha ya kusemwa sana, hawajasimamishwa? Hapi na Chalamila, ni mdomoni tu, lakini hawajaua mtu wala hawajapora mali ya mtu, tofauti na Sabaya ambaye ametenda grave crimes ambazo ni lazima uwe hayawani kukubali kuwa ni mambo ya kawaida.
Vyombo vinavyochunguza, vimalize kazi haraka, Sabaya asimamishwe mahakamani, na aende wanakoishi waovu kama yeye.
Ole Tulia tukusimange
View attachment 1786791
Sipendi au ndivyo ilivyo? Kwani Hamduni atamfanya nini Ole Sabaya?Huyu sweettablet hapendi ujue.
Wanatoa Kodi zetu wanyonge kama sadakaMkuu mbona niliona wanasiasa mashuhuri wakisaidia kukusanya sadaka ili kumtolea Mungu? Wanajua Mungu yupo ila wanamfanya mshikaji.
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Ningeelewa ulichoandika ningekujibu!Ujitete kwa kumsema Rais? My friend unakuwa unajichimbia Kaburi
Aondolewe na nani?
Wakuu amani iwe juu yenu!
Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe.
Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi nikiri mimi kwenye makundi hayo, wanafanya kazi kumsema Vibaya Mhe Rais wetu chini ya uamuzi wake wa kumsimashia Sabaya nafasi ya ukuu wa wilaya, makundi haya yanamtetea Sabaya kwa hali na mali akiyaandaa yeye mwenyewe. Kwa bahati mbaya sana kazi wanayofanya ni kudhihaki mamlaka za nchi. Wamesahau kuwa aliyemsimamisha kazi Sabaya si Samia Suluhu Hassan bali ni Rais Samia Suluhu Hassan. Urais ni taasisi kubwa ina macho yake ya kila aina na ni mengi.
Sabaya badala ya kutulia achunguzwe tuhuma dhidi yake ili ma majibu yajulikane na badala yake anatumia vijana kumsafisha aonekane kua hana hatia. Sabaya unataka kujihami na nini? What if matokeo ya uchunguzi yakasema aliharibu pakubwa na aende jela, wasafishaji wake watenda wapi hali ikiwa hivyo. Wewe wenzako wanatulia hata ili hata kama kuna makosa yatadhihiri hata busara inaweza kutumika kumuadhibu, leo wewe unaona umeonewa na kutuma vijana kumsema vibaya Mama?
Matukio yote unayotuhumiwa nayo Sabaya ni makubwa sana ni bora kukaa kimya. Muungwa huchutama pale akoseapo. Wajanja hukaa kimya ili hata kama kuna makosa waonewe huruma lakini wewe kichwa ngumu.
Hivi wewe unafikiri Mama hana faili lako? Unafikiri hakujui vizuri? Endelea kujiona unaonewa utapata mtu wa kukurudisha kwenye nafasi yako kama si jela.
Kwa kiwango gani cha maarifa alichonacho, kinachofanya asikumbushwe kujitafakari?Kuna wengine wamefikia hatua ya kumwambia Rais Samia eti ajitafakari.