Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

Wakuu amani iwe juu yenu!

Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe.

Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi nikiri mimi kwenye makundi hayo, wanafanya kazi kumsema Vibaya Mhe Rais wetu chini ya uamuzi wake wa kumsimashia Sabaya nafasi ya ukuu wa wilaya, makundi haya yanamtetea Sabaya kwa hali na mali akiyaandaa yeye mwenyewe. Kwa bahati mbaya sana kazi wanayofanya ni kudhihaki mamlaka za nchi. Wamesahau kuwa aliyemsimamisha kazi Sabaya si Samia Suluhu Hassan bali ni Rais Samia Suluhu Hassan. Urais ni taasisi kubwa ina macho yake ya kila aina na ni mengi.

Sabaya badala ya kutulia achunguzwe tuhuma dhidi yake ili ma majibu yajulikane na badala yake anatumia vijana kumsafisha aonekane kua hana hatia. Sabaya unataka kujihami na nini? What if matokeo ya uchunguzi yakasema aliharibu pakubwa na aende jela, wasafishaji wake watenda wapi hali ikiwa hivyo. Wewe wenzako wanatulia hata ili hata kama kuna makosa yatadhihiri hata busara inaweza kutumika kumuadhibu, leo wewe unaona umeonewa na kutuma vijana kumsema vibaya Mama?

Matukio yote unayotuhumiwa nayo Sabaya ni makubwa sana ni bora kukaa kimya. Muungwa huchutama pale akoseapo. Wajanja hukaa kimya ili hata kama kuna makosa waonewe huruma lakini wewe kichwa ngumu.

Hivi wewe unafikiri Mama hana faili lako? Unafikiri hakujui vizuri? Endelea kujiona unaonewa utapata mtu wa kukurudisha kwenye nafasi yako kama si jela.
Sabaya kalipa vijana wa njoro-ya-dobi na deep sea pale Moshi wanashinda Kicheko cafe kumsafisha kwenye mitandao na ma group ya watsup,.
 
Sabaya kalipa vijana wa njoro na deep sea pale Moshi wanashinda Kicheko cafe kumsafisha kwenye mitandao na ma group ya watsup

Basi unadhani vijana wanajielewa kutaka kushindana na Mkuu wa nchi ambae anaweza pata taarifa zako ndani ya dakika moja ni kujisumbua hawa watu waliumiza na kunyanyasa sana watu bila aibu
 
Sabaya sio ndugu yangu lakini mimi ni muumini wa Natural Justice,mnatengeneza viwanda vyenu vya majungu na yule incompetent anawasikiliza

Unataka natural justice ipi kwa pimbi kama Sabaya? Acha achunguzwe na mweleze next ni mahakamani, na leo wanahojiwa wale aliowavamia Arusha aende ofisini akaone wanavotiririka ndio atajua hajui, RSO Kilimanjaro na RSO Arusha wakikamilisha Takukuru wanamaliza ili aisome sawa sawa fala yule
 
Mtu muovu akiangushwa,kila mtu husherehekea!
 
Mimi bado nina mashaka naye kuwa ni Mtu wa Kitengo (bado kile kitambulisho alichoshikwa nacho cha kufoji cha TISS mwaka fulani) harafu akaachiwa bado napata mashaka!
Mambo yataishia uchunguzi bado unaendelea.
Zile zilikuwa sifa za guma tu mijitu ya hovyo hovyo na yenye makandokando ndiyo aliyahitaji ili kufanikisha anayoyataka lkn kwenye utawala smart kama wa mama hawa mbweha hawana nafasi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Huyo rekodi zake chafu zitamfuata na ni vyema akajilaumu yeye mwenyewe.
 
Hivi kuna excuse yoyote kwa mtu anayetii amri haramu? Au ni kutaka kuchonganisha mamlaka?
 
Usitishe watu mjinga wewe,eti taasisi ya Raisi ina macho mengi,danganya wajinga,acha watu waongee wanachoamini,kamtishe mkweo huko
[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Ok!!! Bwana Ole Sabaya siku zote sikio la kufa halisikii dawa mpaka udongo uingie ndani. Wakubwa wanakushauri kama walivyokushauri mwanzo lakini bado ni mweusi sana hutaki kutakata ukawaelewa. Anyways endelea kujipiga brash kama itasaidia labda

Ninachojua mimi ni kuwa watu tayari wamekwisha chungulia KENDE ZAKO ambazo ni nyeusiii kama mkaaa kabla hujasimamishwa uDC

Nashangaa sasa hivi unahangaika kuzificha saizi hapa JF nankujaribu kuaminisha JF empire kwamba ni nyeupe wakati picha za KENDE ZAKO nyeusi tayari zipo mezani kwa Mama chamwino

Asie sikia la Mkuu hupasuka Mkuu shauri yako kaa kimya
 
Wakuu amani iwe juu yenu!

Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe.

Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi nikiri mimi kwenye makundi hayo, wanafanya kazi kumsema Vibaya Mhe Rais wetu chini ya uamuzi wake wa kumsimashia Sabaya nafasi ya ukuu wa wilaya, makundi haya yanamtetea Sabaya kwa hali na mali akiyaandaa yeye mwenyewe. Kwa bahati mbaya sana kazi wanayofanya ni kudhihaki mamlaka za nchi. Wamesahau kuwa aliyemsimamisha kazi Sabaya si Samia Suluhu Hassan bali ni Rais Samia Suluhu Hassan. Urais ni taasisi kubwa ina macho yake ya kila aina na ni mengi.

Sabaya badala ya kutulia achunguzwe tuhuma dhidi yake ili ma majibu yajulikane na badala yake anatumia vijana kumsafisha aonekane kua hana hatia. Sabaya unataka kujihami na nini? What if matokeo ya uchunguzi yakasema aliharibu pakubwa na aende jela, wasafishaji wake watenda wapi hali ikiwa hivyo. Wewe wenzako wanatulia hata ili hata kama kuna makosa yatadhihiri hata busara inaweza kutumika kumuadhibu, leo wewe unaona umeonewa na kutuma vijana kumsema vibaya Mama?

Matukio yote unayotuhumiwa nayo Sabaya ni makubwa sana ni bora kukaa kimya. Muungwa huchutama pale akoseapo. Wajanja hukaa kimya ili hata kama kuna makosa waonewe huruma lakini wewe kichwa ngumu.

Hivi wewe unafikiri Mama hana faili lako? Unafikiri hakujui vizuri? Endelea kujiona unaonewa utapata mtu wa kukurudisha kwenye nafasi yako kama si jela.

Huyu jamaa ni mshirikina, sasa hivi anashinda kwa waganga likamatwe hili lijitu linyang'anywe ile pete pale kwenye kidole ndio inampa kiburi! Akijisahau akaivua ile pete, au yeyote akimvua anatiwa pingu fasta! Hata huku kutumbuliwa mama alimuwahi maana alitaka kumfanyia udunduwizi kama alivyomfanyia mwendazake! Hili kima ni lishirikina!
 
Mimi bado nina mashaka naye kuwa ni Mtu wa Kitengo (bado kile kitambulisho alichoshikwa nacho cha kufoji cha TISS mwaka fulani) harafu akaachiwa bado napata mashaka!
Mambo yataishia uchunguzi bado unaendelea.
Kwa hiyo mtumishi wa TISS anakibali cha kufanya uovu atakavyo? Loooh hapana, watu wa TISS wako makini sana, hata hao wafanyao propaganda sidhani kama huwa wanaenda mbali kuharibu mali, Uhuru na usalama wa watu wasiokuwa na hatia.

Lengai kazingua, alikubali kuendeshwa na ulimbukeni kama wa mvuta bangi.
 
Sabaya sio ndugu yangu lakini mimi ni muumini wa Natural Justice,mnatengeneza viwanda vyenu vya majungu na yule incompetent anawasikiliza
Ati nani incompetent? Mama Samia kipanga wetu aliyejawa na hekima na busara...haendeshwi na misifa wala haamui kwa jazba, chuki na kiburi.

Mzee hii ni awamu ya sita...keki mliyokula awamu ya tano iliwatosha.

Incompetent huyo kwiyo, mxiuuuu
 
Back
Top Bottom