Ng'wale JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 4,690 Reaction score 3,399 May 18, 2021 #101 sweettablet said: Aondolewe na nani? Click to expand... Na chama chake cha mapinduzi (CCM). Hili ndilo tatizo la kuteua nafasi za kiserikali (mkuu wa wilaya) kwa kuangalia itikadi. Hata elimu ndogo tu ya siasa inatosha kumuongoza mtu. Hadi mwaka huu uishe, wote tutakua tumeelewa mapungufu ya mwendazake.
sweettablet said: Aondolewe na nani? Click to expand... Na chama chake cha mapinduzi (CCM). Hili ndilo tatizo la kuteua nafasi za kiserikali (mkuu wa wilaya) kwa kuangalia itikadi. Hata elimu ndogo tu ya siasa inatosha kumuongoza mtu. Hadi mwaka huu uishe, wote tutakua tumeelewa mapungufu ya mwendazake.