Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

Na Polepole
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
 
Legacy ya kuumiza watu acheni ujinga nyie watu...Kupiga Watanzania Wenzie Kikatiri kama Hitler na makatiri Mengine yaliyokuepo hapa Duniani...Kuwasingizia Na kuwatishia watu wengine kisa Una Madaraka Hayo ni mambo ya kipuuzi kabisa Sio sera ya CCM wala Chama Hiki hakina Unasaba huo ni nyie wachumia tumbo mnaumiza watanzania wenzenu mnasema alikua anatetea chama stupid....

nani aliteswa na kuumizwa!!

mnaingia kwenye 18 za watu,kwa ubinaadam wao wanawanyoosha mnaanza kutafuta huruma ktk jamii??
 
Sasa Yako Wapi??? Kama Umeumiza ...Umeonea Umedhalilisha kisa uko karibu na Kiongozi flani madaraka yana mwisho nitakuambia Wewe saddist malipo utalipia hapa hapa... ni suala la muda Tu....

Kuna Watu Mnajifanya nyie Ndio Watanzania Class 1 sisi wengine majuha sio kweli....Hii nchi ni yetu...
 
kiko wapi huo ni mtazamo tu,na namna moja wapo ya kujipa faraja.
huna tofauti na wanaofurahia magufuli kufariki kama vile nao hawatakufa.

wanasema mwenye nguvu mpishe,sio kwa unyonge,ni kuacha nature iamue yenyewe.
hap nature haijaamua bado maana hata hilo gereza ni muendelezo wa sinema za ccm.
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5
Kiko wapi
 
Back
Top Bottom