Mkuu unaelewa unachojibu kweli?Ukitaka ku-deal na Mbowe unatakiwa uwe na weredi ya hali ya juu mno - ukiwa mbumbumbu utaishia njiani na jamii nzima itakuona ni kishekesho kama huyu bwa mdogo !!
So far hapa nchini hakuna aliyejaribu kupambana na Mbowe akamshinda!! kama yupo mtajeni.
Sabaya alitajipa kazi ya ku-deal na Mbowe!! sasa moto unamuwakia - kupewa kazi bila kutumia weredi ndiko huko.. kudeal na Mbowe unahitaji weredi ya hali ya juu otherwise lazima uumbuke.Mkuu unaelewa unachojibu kweli?
Kazi gani alipewa- au ndiyo ile ya kuhakiksha Mbowe harudi bungeni?Sabaya alitajipa kazi ya ku-deal na Mbowe!! sasa moto unamuwakia - kupewa kazi bila kutumia weredi ndiko huko.. kudeal na Mbowe unahitaji weredi ya hali ya juu otherwise lazima uumbuke.
Ile ya kupigilia watu misumari na eti kujaribu kumdhoofisha Mh. Mbowe kiuchumi bila kujua historia ya Mbowe ni gani, hawa vijana wa CCM kwa kukurupukia mambo wasiyoyaweza!!Kazi gani alipewa- au ndiyo ile ya kuhakiksha Mbowe harudi bungeni?
ha ha ha ha.Atakula alipopeleka mboga
Mboga ipo CCM, hivyo haina tatizoAtakula alipopeleka mboga
ingekuwa ni mbowe pekee wa chadema kukosa ubunge, hapo point tatu za ushindi ningempa sabaya.Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Full Blood Picture hicho kipimo kilikufanya nini🤔🤔Mboga ipo CCM, hivyo haina tatizo
Full Blood Picture hicho kipimo kilikufanya ninni.
Hicho hakina siri kwa mtu yeyote.Full Blood Picture hicho kipimo kilikufanya nini🤔🤔
Mission accomplished in a shame wayMission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Huijui hii nchi na historia yake wale wote waliopambana na Mbowe wamepigwa chini nenda kamwangalie Byakanwa, Sabaya chali, Selasini, Lijuakali,Makonda, Mkurungezi Takukuru, Komu n.kMission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Eti mission accomplished, what type of cigar do you smoke?Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Ebu toa sababu angalau moja ya kuonesha ni hatari akiwa nje ya Bunge.Mbowe kuwa nje ya bunge ni hatari kuliko kuwa bungeni.
Sabaya alipewa maagizo na kichaa asiyejua consequences na kichaa huyo hayupo.
Apambane na upuuzi aliokubali.