Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

Vijana wadogo tu Ole Sabaya na Mh. Saasisha Mafuwe walimgaragaraza kwenye uchaguzi halafu leo unakuja na ngojera za kunyumbu!
 
Vijana wadogo tu Ole Sabaya na Mh. Saasisha Mafuwe walimgaragaraza kwenye uchaguzi halafu leo unakuja na ngojera za kunyumbu!
unasema huyu jambazi aliyekuwa anatoboa watu goko za miguu kwa misumari ya nne 4.. yaani huyu ndiyo a-deal na Mbowe ! unachekesha kweli.
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Pambafu, sasa yuko mikono salama.
Toka clouds hadi mabatini kijitonyama anafanya nini huko[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Achana Sabaya. Ni maiti huyo. Acha atokomee zake bila huruma.
 
Sabaya watu wanamsubiri kwa hamu jela wamlawiti kama yeye alivyokuwa anafawafanyia watu aliowateka kabla ya kuwaua.
 
Kwa utawala ule wa dikteta haipaswi hata kidogo kumlaum mtu mmoja mmoja kwa wale waliokuwa subordinates wake bali lawama ni kwa kila mmoja aliyekubali kupokea uteuzi kutoka kwa yule jangili. Wateule wake wote walimejaa dhuluma walizowafanyia watanzania hasa wa upinzani na wale wapenda haki wasiokuwa na chama kama mimi hakuna na hata mmoja anyesalimika kwa dhuluma ile.
 
Sabaya kajianguasha mwenyewe kwa tabia zake ovu. Bila utalawala kubadilika bado angeendeleza uovu wake. Thread yako haina ukweli hata kidogo.
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Hakuna cha mission accomplished wala Nini ..

Hebu waza mara mbili Bashiru,Polepole ,Bashite , James na Sabaya wananguvu gani leo..Ni miezi 6 tu toka upite uchaguzi ..hawana Command Tena ..

..na Kama ujuavyo ukikosa power of Command kwenye siasa kwaheri...

Mungu ndio Fundi Mkuu
 
Ebu toa sababu angalau moja ya kuonesha ni hatari akiwa nje ya Bunge.
Anapata muda zaidi wa kukijenga chama..
Akili inakuwa tulivu kwenye kupanga mikakati ya nchi nzima as opposed kufikiria cha kuwafanyia watu wa Hai.
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Acha kudanganya watu Wewe! Taarifa ya ikulu inasema anachunguzwa machafu yake, Wewe unaleta mambo ya mission accomplished?! Mission hiyo hiyo imeondoka na sterling wenu, na huyo saabovu wenu imemla kichwa, matumaini hewa yenu huko huko u-mataga-ni, humdanganyi mtu hapa!
 
Endelea kuota!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…