Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

Anapata muda zaidi wa kukijenga chama..
Akili inakuwa tulivu kwenye kupanga mikakati ya nchi nzima as opposed kufikiria cha kuwafanyia watu wa Hai.
Kwa maana hiyo, Prof. Lipumba ndio angekuwa amekiimarisha chama chake kweri kweri!
 
Hivi na huyu kalumekenge bado yuko kazini?


Your browser is not able to display this video.
 
Unaposema Bashiru, Polepole eti leo hawana mamlaka, jua unaisifia CCM kwamba chama sio cha mtu mmoja. Kwamba ukiwa CCM, cheo ni dhamana. Leo unacho, kesho anacho mwingine. Nenda Chadema sasa! Ahahahahahahahahahahahah!!!!
 
unasema huyu jambazi aliyekuwa anatoboa watu goko za miguu kwa misumari ya nne 4.. yaani huyu ndiyo a-deal na Mbowe ! unachekesha kweli.
Sasa kinachowaliza humu kila siku nin? Si Mbowe angeshughulika naye ili awapunguzie muda was kumsema!?
 
Masai na mchaga wapi wapi? Acha akachunge ng'ombe maana na yeye ni sehemu ya ng'ombe
Huyo hata kuchunga ng'ombe hawezi wamasai tumemkataa.Labda aende kufukuza Nzige huko Longido.Manake akija Arusha Mjini Machalii tuna hasira naye mbaya kutupora madem wetu kinguvu😡😡
 
Ubunge alishinda kwa asilimia ngapi?
 
Mbowe kuwa nje ya bunge ni hatari kuliko kuwa bungeni.

Sabaya alipewa maagizo na kichaa asiyejua consequences na kichaa huyo hayupo.

Apambane na upuuzi aliokubali.
Umeninenea yaliyo ubongoni mwangu, yaani Kama yalivyo!
Yaani huyo sirbuyer na mwendazake akili zao hazikuvuka urefu wa pua zao!
Nje ya bunge huyo Mbowe anafanya mengi mno ya kukijenga chama chake Tena kwa nafasi! Ndio maana CDM imeaminika na kukaa mioyoni mwa wananchi wengi leo!
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Kati ya Mbowe na Sabaya kwa sasa nani mshindi?
Nani anaishi kama digidigi [emoji851]
 
Kwani huyo Sabaya amesimamishwa kazi kwa sababu ya Mbowe, au ni kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka?
Yaani wewe akili yako imeganda kama mavi ya asubuhi....
Walau punguza ujinga kidogo uweze kuwaza vyema
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Hilo ndokosa lasabaya ,waliotakiwa kuhakikisha mbowe hashindi kinyang'anyiro chaubunge ni wananchi sio sabaya...nandomana mudahuu anatafunwa kwani hakustahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…