Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!

Magufuli hakuhitaji msaada wa Sabaya kumtoa Mbowe kwenye ubunge. Agizo lake moja tu
Lilitosha kumweka kando. Sabaya alikuwa pale kumuaibisha mwajiri wake na CCM yao.
Sielewi Magufuli alikuwa akifurahia nini kwa mtu embarrassing kama Sabaya kama sio kudanganywa na kuchezewa akili tu.
 
Hilo ndokosa lasabaya ,waliotakiwa kuhakikisha mbowe hashindi kinyang'anyiro chaubunge ni wananchi sio sabaya...nandomana mudahuu anatafunwa kwani hakustahili
Nasikia Braza uliteuliwa kuwa mwandishi wa vikao vya Kamati Kuu ya Chadema kutokana na umahiri wako wa uandishi na kubwaga kina Babati, tindo na Mmawia!
 
Mataga mnajitahidi saaana kumpigania sabaya, kisa mama alisema anasoma mitandao, akili zenu fupi zinawatuma kuwa mkiandika upuuzi mama atauchukua tuu!! Ujinga ulioje ! Ajabu na kweli, mtu kuwa mpumbavu kiasi hiki. Msipoteze muda na kampeni za kubumba, haita msaidia sabaya
 
Yule kuongozi mwendazake ametuaharibia sana nchi..alikua anatuma TRA kukamata akounti za watu na kuchukua pesa za watu bila sababu baada ya TAKUKURU kufungua kesi bandia.
Ndani ya kesi 147 zilizofutwa na TAKUKURU tayari watu waliochukuliwa pesa na TRA walishafungua kesi ya madai. Madai yao mpaka Ijumaa ilikua imefikia 2.7 Trilioni TZS. Nchi ilifika pabaya sana yaani PCCB wanafunga akaunti kwa kukumbambizia kesi then TRA wanakomba pesa. Pesa zenyewe zilikua zinagawanywa 50/50 kati ya serikali na timu mwendazake.

Sasa ngoja tuyalipe kwa kodi zetu...upuuzi mtupu.
 
Mbowe siyo mangi wa mchaga ni mtanzania mwenye asili ya Malawi. Halafu Mbowe ni mbuge- useme tu ni mbuge wa zamani kama Sabaya aliyo DC aliyesimamaishwa kusubiri uchunguzi- bado uanapokea mshahara. POLE.
Sio ishu ya kusimamishwa, mama katumia neno laini kuwa anasimamishwa, huyo kafukuzwa, make tayari Wilaya imepata DC mpya.
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Inaonekana upeo wako unaishia mita 2.
 
sasa hivi yuko peke yake waliomtuma wamemgeuka.
Mbowe siyo mbunge, siyo kwa sababu ya Sabaya, bali ni kwa sababu ya yule shetani dikteta mjinga aliyeamuru wapinzani wote wasitangazwe washindi.

Shetani dikteta mjinga alifanya uovu mpaka baadaye akashtuka kuwa amefanya ujinga wa kupitiliza. Akaelekeza mahakama iwapitishe wachache, kutoka kwenye kundi la watakaokwenda mahakamani. Wapinzani hawakufanya kama alivyofikiria. Akazidi kujiona mjinga zaidi. Akabakia kuokoteza Covid 19. Akaondoka kwa covid 19 akiwa na kihoro kikubwa moyoni.
 
Msitutoe kwenye jinai crime mkatuweka kwenye siasa huyo ni mhalifu tu
 
Vijana wadogo tu Ole Sabaya na Mh. Saasisha Mafuwe walimgaragaraza kwenye uchaguzi halafu leo unakuja na ngojera za kunyumbu!
Sabaya ni takataka isiyofaa hata kuoteshea mchicha. Subirini, mtajilaumu kuisifia takataka.
 
Tatizo sio Sabaya,Diwani wala Mahera!tatizo ni kamati kuu ya ccm Kumpitisha mgonjwa wa akili na moyo kuwa mteule na mgombea Uraisi wa tz 2015!!!Tujifunze tulipo jikwaa na sio tulipoangukia!!
 
Mission ya Ole Sabaya ilikuwa kuhakikisha Mbowe hawi Mbunge wa Hai. Na leo hii, Mbowe SIO Mbunge wa Hai halafu wewe eti Mbowe huwa hashindwi? Zinakutosha kweli? Na kwa taarifa yako, Ole Sabaya ameondolewa kwasababu "Mission Accomplished"!
Kwa kauli hizi zinathibitisha juu ya uchafuzi wa 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…