Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

Anaanza kujipendekeza
 
Tutashuhudia mengi sana mwaka huu [emoji16][emoji16]
 
Gari la mkaa limewazimikia polini, hawana ujanja tena, ni kusubiri tu huruma ya Mama.
 
Salamu Za mapema kwa mama au syo
#kuti kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…