Ih_nyamnunga
Member
- Feb 5, 2014
- 6
- 0
Hicho kulio ni cha unafiki kabisa kisha shiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu umenena sendeka anaangalia maslahi ya kitambi chake nyambafu zake anataka uwaziri huyu pimbi kweli kura ni siri ya mtu analazimisha kura ya wazi
Lipeleke mbele huo UCHURO wake, kumbe lijamaa lipuuzi sana hilo nilikuwa sijalijuwa.
mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na wajumbe wengi kuunga mkono. Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machoz.
anadhani anaongea na wamasai wa simanjiro nyambafu kweli
Tumechoka kuliliwa na baba mzima,kama vipi akawape tafu ya kulia huko Malysia kuhusu pipa lililopotelea hewani.
Nini sasa generalization asee!!!!!!
Nani kakuambia huko watu wanalilia yasiyohitaji kuliliwa!!!!
sorry mkuu unajua huyu sendeka ni kama vile sio mmasai ambao ni wenye msimamo thabiti hawana unafiki ananiuzi sana
sorry mkuu unajua huyu sendeka ni kama vile sio mmasai ambao ni wenye msimamo thabiti hawana unafiki ananiuzi sana