Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

...hadi hili bunge la katiba liishe huyu mzee atakuwa ameishiwa maji...
 
Jamani ni mzee huyu taratibu ati!!!!!

Ndioo! Kwani ni uongo kwamba Olesendeka ni mtoto wa nje (haramu)??

Ni hivi; Christopher Ikayo Olonyokie Olesendeka ni mtoto haramu alozaliwa na MSOMALI lakini Mama yake ni Mmasai na Mume wa Mama yake yaani Olonyori ni Maasai wa Lendanai! Mama ni ukoo wa Mamasita na Baba ni ukoo wa Laizer.... What else should I say then....

Olesaidimu; Eti unasema mzee ati!!! So? Ndo ukweli usisemwe?
 
mkuu sina neno hapo
 
Iko hivi Emboloi murtangos damu imemwagika sana si yeye wala Nangoro wala nani walioamka kusimamia kumaliza mgogoro!!!!!

Kwa damu ya ardhi ile hao bado wana mengi ya kulipa huu mwanzo tu!!!!!

Nakuheshimu sana Mkuu! Sidhani kama nisahihi kushutumu watu maana hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa ama Nangoro au Sendeka wamehusika katika vurugu hizi! Na kuhusu kama wamekemea suala hili, sio mara moja viongozi hawa wameshiriki kwenye vikao mbalimbali vya usuluhishi juu ya suala hili!

Usihukumu maana kwanza huna mamlaka hayo vinginevyo thibitisha uloyasema.m
 
Ndioo! Kwani ni uongo kwamba Olesendeka ni mtoto wa nje (haramu)??

Ni hivi; Christopher Ikayo Olonyokie Olesendeka ni mtoto haramu alozaliwa na MSOMALI lakini Mama yake ni Mmasai na Mume wa Mama yake yaani Olonyori ni Maasai wa Lendanai! Mama ni ukoo wa Mamasita na Baba ni ukoo wa Laizer.... What else should I say then....

Olesaidimu; Eti unasema mzee ati!!! So? Ndo ukweli usisemwe?

Sheee..metii hoja!!!!!!!
 
Nakuheshimu sana Mkuu! Sidhani kama nisahihi kushutumu watu maana hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa ama Nangoro au Sendeka wamehusika katika vurugu hizi! Na kuhusu kama wamekemea suala hili, sio mara moja viongozi hawa wameshiriki kwenye vikao mbalimbali vya usuluhishi juu ya suala hili!

Usihukumu maana kwanza huna mamlaka hayo vinginevyo thibitisha uloyasema.m
1. Wewe mwenyeji kule????!!!!!!
2. Anza kuniwekea vikao vya bomani pale na kule mashambani na hoja zilizozungumzwa na sababu ya waziri mkuu kwenda!!!!!
3. Heshima ipo sana tu ila nguvu ya hoja ndio msingi; jitihada inayoonekana sasa wangeungana na KINNAPA na serikali na umoja wa wakulima na wafugaji hakika tusingedhurika that much!!!!!!

Tuanzie hapo
 
Wamasai wote wanahusika vipi na huo uchuro wa Sendeka? Ww ni mngese xana! Why are u generalizing people??

mkuu haina haja ya matusi huyu jamaa sendeka uthani sio mmasai ambao nawatambua kwa misimamo pasipo unafiki ananiuzi sana
 
Watalia sana tuu,Tanzania kwanza vitambi baadae
Mmasai gani anafuga kitambi?
Tumechoka sasa,na ipigwe kura ya siri pumbavvu zao;hadi inakera jamani!

hahaha! wakati wamasai wenzake wanakufa kwa utapiamlo yeye anatunisha kitambi bungeni anatetea ujinga badala ya kuwatetea wamasai wenzake wapate ardhi ya malisho? mjinga mkubwa!
 
1. Wewe mwenyeji kule????!!!!!!
2. Anza kuniwekea vikao vya bomani pale na kule mashambani na hoja zilizozungumzwa na sababu ya waziri mkuu kwenda!!!!!
3. Heshima ipo sana tu ila nguvu ya hoja ndio msingi; jitihada inayoonekana sasa wangeungana na KINNAPA na serikali na umoja wa wakulima na wafugaji hakika tusingedhurika that much!!!!!!

Tuanzie hapo

1. Mimi sio mwenyeji wa Kiteto

2. Unapozungumzia Bomani, huko kuna Bomani kwa maana ya (wilayani) na Maboma ya kimasai...be specific. Na yalozungumzwa mashambani ni mengi sana! Kuna vikao vingi vya awali yalofanyika kabla ya mauaji yale ya kutisha kufanyika yakihusisha viongozi wa Wilaya, chama wilaya na mkoani na hata akina Olesendeka walipata kuhudhuria bila suluhu kupatikana! Pamefanyika jitihada nyingi sana katika suala hili!
Kilichompeleka Waziri mkuu ni kama kawaida serikali ya CCM kufuatilia jambo baada ya madhara makubwa kutokea lakini kubwa zaidi aliaminishwa kuwa mauaji yale yalipagwa na pengine kuwahusisha viongozi wa kisiasa!!!

3. KINNAPA, wanachokifanya saivi chini ya uongozi wa Bw. Korinja, sio jambo geni maana jitihada zote hizi walikwishafanya huko nyuma bila kufua dafu! Huo ni mwendelezo tu of which pengine unauona ni jambo jipya kwao kushiriki pengine kwakuwa kwasasa umeshirikisha wadau wengi zaidi kama serikali na umoja wa Wafugaji na Wakulima!!!
 
Nasikia hana mke wala watoto sasa na sisi watanzania tunachekesha, tumemruhusu vipi kwenda kuamua hatima ya maisha ya watoto wetu? si tunafahamu wahenga walisema uchungu wa mwana aujuae mzazi?

Anao wake na watoto wengi kiasi. tena wengine wako Landanai kwa mtu mmoja wanasoma. wengine nje ya hapo. Landanai si mbali kutoka Lolbene ambapo ni kwake. Ni tajiri wa ng'ombe sana huyu bwana zikikadiriwa kuwa zaidi ya elfu saba. ila hupenda kulala kwenye maboma ya wenzie kihalali kula uroda wa wake zao.
 
Huyu jamaa kwa kuiga tu ni noma..hapo anamuiga Pinda tu hana lolote...masai gani kwanza analia?
 
Kura ya wazi ndilo suluhisho la kweli na lisilo na shaka kwa moyo ulio dhahiri.........Ukiona mtu anapiga kura kwa siri basi jua UNAFIKI umetawala ndani ya ROHO yake, kuna dhamira mbili kinzani ambazo anashindwa kuzitolea msimamo mbele ya watu awe upande gani hata kama ukweli anaujua............yupo tayari kusema ambalo siyo kwa sababu yupo SIRINI..........ni hatari sana hasa tunapotengeneza UTAIFA...........
 
Watalia sana tuu,Tanzania kwanza vitambi baadae
Mmasai gani anafuga kditambi?
Tumechoka sasa,na ipigwe kura ya siri pumbavvu zao;hadi inakera jamani!

Hahaha mmasai na kitambi wap na wap!!ka vp wazichape tu tujue 1
 
mh mbona sio kweli

Ndugu yangu dokta lu fuatilia magazeti ila sikumbuki ni lini lakini ni awamu hii hii ya Kikwete Lowasa alisimikwa kama Laigwanani Mkuu na kuhusu kulialia hovyo hiyo nina uhakika ukikuta mmasai wa kweli aliyechukizwa na jambo la ovyo huwa aliilii ovyo mbele ya wanawake au hadhira ila mara nyingi wanapandisha MORI..nimekaa nao..nimeishi nao na ninawafahamu vizuri sana ukiona mtu mwanamume mmasai hana sifa hizo basi huyo siyo mMASAI WA KWELI...Lakini na wewe unaweza ukaweka ukweli wako hapa na kama unafikiri na tania hebu chunguza kidogo walipokuwa wakimtibua Marehemu sokoine nini kilikua kinafuatia....wazee wazamani kidogo watatusaidia kwa hili...
 
Back
Top Bottom