PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.


Your browser is not able to display this video.
 
Naona kama anafikisha ujumbe kifasihi zaidi kuwa hiyo kesi haina mashiko na TAL ana uwezo wa kuishinda kwa zaidi ya 💯%.

Pia kuwawekea vikwazo wapinzani hakunogeshi mchuano,yaani sisiem kupita bila kupingwa inamboa huyo mwamba kidizaini.

Lakini pia anawish TAL agombee. Ukute kura yake ni huko, maana watz hatuaminiki
 
Mbona hamtaki tume huru? Tume ni ya kwenu na bado mnatumia vyombo vya dola kuwakandamiza CHADEMA?
Ulishasikia wapi Tume huru ndiye inayopiga kura?

Wananchi ndio wapigaji kura.

Sasa kwa hizi mbinu na mikakati ya CHADEMA wakiongozwa na Mamluki na vibaraka na mawakala wa Kibeberu, za kuigawanya Tanzania na Wananchi wake...

...CHADEMA hata ikiwaita Wanachama wake wote, haitashinda uchaguzi.

Huo ndio Ukweli.

====
Narudia alichokisema...Tundu hawezi kuwa tishio kwenye sanduku la kura.

Nasema, Tundu ni Tishio kwa Usalama wa Kitaifa na Uhuru wake(He is a threat to our Sovereignty)

Hatahivyo, hoja zenu za kwamba Tume sio huru, hazina mashiko.
 
Tishio kwenye sanduku la kura, kwani Tanzania kuna uchaguzi au kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
☝🏿 hilo juu ni Copy and Paste.

Haijalishi

Umeshakuwa mvivu wa kuandika? Wewe Tindo
 
Your browser is not able to display this video.
 

Safi kabisa. Lissu siyo tishio. Basi na wakubali Reforms. Twende dakika 90 Maza vs Simba:

Lucas Mwashambwa, njinjo, Tlaatlaah, imhotep na wale wengine.

Tushuhidie nani atapigika kama ngoma.

Kwa hoja!
 
Haina hii ya wazee , wapo na mchango mdogo kwa Taifa, wazee wa kwenda na upepo wa kisiasa
 

Sasa wewe na hawo viongozi wako na waliokuwa wanajeshi ni nani mkweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…