PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usinipangie cha kusema wewe. Koma kabisa.

Haramia la Kikenge

Nani alikuambia akili kupinda ni tatizo?

Hii ni akili kubwa, na ndio maana unahangaika na kuweweseka na kila ninalo bandika.

Koma. Kawahubirie mamluki wenzako.
EEeeenHEEeeeeh!

Hivi hawa "kenge" mmeanza kuwafuga siku hizi hizi, mbona wamekuwa wengi sana kiasi cha kuwapa usumbufu mkubwa hivi?
Nataka ujue jambo moja tu. Ninapomjibu mtu yeyote humu JF kama nilivyo kujibu wewe, ujue nimekwisha jiridhisha bila ya shaka yoyote kuwa wewe unastahili jibu kama hilo.
Na ulivyorudi hapa, ni wazi kabisa kuwa jibu langu lilikuwa sahihi kabisa.
 
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.

Kwa tume gani? Hii ya ccm
 
Huenda ni msomi kabisa unaheshimika kwa mawazo chanya na busara ila umeshindwa kuelewa tu kuwa nchi hii haijawahi kuwa na sheria zinzompa kila mgombea haki sawa katika kutafuta nafasi ya uraisi.

Unadhani kwa nini mtu kapewa kesi ya uhaini kwa kusisitiza "no reforms no election"?
Kutatua kadhia za Wananchi, hazifanywi na Raisi peke yake.

Sio haba, karibia kila chama cha siasa Tanzania, kinaweka nguvu kubwa sana katika kinyanga'anyiro cha Uraisi pekee.

=====
Achague, anataka kugombea au anataka Uasi.
 
Laigwanaan Tumdu hajawahi kuwa tishio katika sanduku la Kura

Ni tishio kwa Usalama wa Taifa huru la Watanzania.

Tundu sio Tishio kwa CCM ama wagombea wake.

Kumbe mama Abdul ni tishio kwenye sanduku la kura..
 
EEeeenHEEeeeeh!

Hivi hawa "kenge" mmeanza kuwafuga siku hizi hizi, mbona wamekuwa wengi sana kiasi cha kuwapa usumbufu mkubwa hivi?
Nataka ujue jambo moja tu. Ninapomjibu mtu yeyote humu JF kama nilivyo kujibu wewe, ujue nimekwisha jiridhisha bila ya shaka yoyote kuwa wewe unastahili jibu kama hilo.
Na ulivyorudi hapa, ni wazi kabisa kuwa jibu langu lilikuwa sahihi kabisa.

Umevurugwa kweli kweli.

Rudi tena

Haramiaaaaaaaaaa.

One thing you should understand.

You'll never have a control of the narratives in this country.
 
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.

Hili jamaa jinga sana, anataka kumshibdanisha Lissu na viurojo rojo
 
Hayo ni maneno yako.

Mama Abdul ninaye mfahamu hapa kitaani ni mpiga kura tu wa Kawaida.

Laigwanaan ni tishio kwa Taifa na sio sanduku la kura
Hata Laigwanaan nayemjua alifariki sasa sijui siku hizi marehemu anakuwaje tishio kwenye sanduku la kura na taifa.
 
Umevurugwa kweli kweli.

Rudi tena

Haramiaaaaaaaaaa.

One thing you should understand.

You'll never have a control of the narratives in this country.
"You'll never have (a control) of the narratives (sic) in this country", meaning what?
Who said they're seeking control of anything?
 
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Wapinzani ingetakiwa wakae waone namna watakuja kushiriki uchaguzi wasiache kushiriki uchaguzi, sawa wana hiari ya kushiriki au kutokushiriki lakini sisi raha tungepata mshindani ndio tungeweza kufurahi zaidi” -Ole Sendeka.

Huyu naye alishindwa ubunge na kijana mdooogo wa chadema akatia hurumaa akazawadiwa uRC asilale njaa Leo amesahau? Alikuja kurudi bungeni kufuatia uchaguzi uliojaa ukandamizaji wa Jiwe lasivyo hapendwi na hana lolote kisiasa.
 
Back
Top Bottom